Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

Even in China where there is only single political party,divisions do exist bro.
 
Watatoa taarifa ngapi ?kwa kila uzushi wa mpumbavu aliezaliwa hata hamjui baba yake.
 
Are you the one, i dont believe this words.
 
Mpaka sasa Ikulu haijasema chochote kama alikuwa mgonjwa au la sasa unapowalaumu hawa wabongo mbona hueleweki
Mambo mengine ni ujinga kuelezea kila kinachoenezwa isivyo sahihi. Ikulu itasema mangapi?
 
Majibu yalitolewa kwa wakati. Kuna taarifa mbili zilitoka, uteuzi na kuapishwa kwa walioteuliwa. Hayo yalikuwa majibu tosha sema kwa kuwa siku hizi tunaamini wazushi hatukutaka kuamini kinachosemwa kurugenzi ya habari ikulu.
 
Bado nashangazwa na upole wa hii serikali, hivi kwa zile post za lema na wale vijana wa bavicha akina hilda na vitus, serikali inashindwa nn kuwatia nguvuni??
Kwa hili nawalaumu serikali sana
Hujui kuwa familia moja inaweza kuwa na watoto kadhaa wa kambo?
 
Binafsi naamini Magu ni mgonjwa, ni vema akajipa Mtu wa kupumzika apiganie afya yake vinginevyo utaratibu wa kuhutubia kwa dakika 5 Kama Jana utaendelea kwenye kampeni za Uchaguzi mkuu mwakani, tukumbuke huyu ni Mzee wa kuongea pumba mingi za dk.60 Hadi 90
 
Wee nawe umekuwa mshakunaku Kama mwanamke wa kizaramo anayeishi Buguruni.

Yaani unavyoongea unafikiri Rais ni babako.
 
Mzee Mwanakijiji ana like 16 mpaka muda huu??!!!!!! Kweli uzushi unanguvu kuliko ukweli wa MMM dunia hii duara
 
kigogo aliingizwa chaka,kwa technology ya sikuhizi hakuna flight ya ndege isionekane kama ndege haijaficha identity yake makusudi,yeye alishindwa hata kuconfirm na flightrad traker kujua ndege ya mh iko wapi
 
Afe
Aishi
Sipungukiwi
Siongezewi kitu
 
Kwamba, tukio la leo kwa kweli halikuwa "live" ila lilirekodiwa kabla hajaugua na kuwa limeunganishwa vipande vipande kidigitally. Rais mwenyewe ameendelea mapumzikoni huko pembezoni mwa Milima ya Alps, Uswisi.
Wameshanena yanayofanana na haya kule Twitter
 

Halima Mdee Huyo?
 
Katika ujasusi,unapokua unatafuta mole,kwa maana ya kidudumtu anaevujisha taarifa,standard procedure ni kuleakisha fake information to a few selected suspects na kuangalia kama zitaleak na kumfikia adui,na ikitokea basi mole anakuwa kishapatikana kiulaini sana
 
Hao mafala walisema amekufa, hadi lema akapost kumuonya gerson msigwa eti taarifa ya utauzi ni fake!
Nitafurahi nikisikia hao watu wameshikishwa adabu, sijui kwa nini wanawalea hao wajinga
Bora Lema amekuwa mpole, saib tweet zake anasifu uhodari wa DC Athumani, na TISS. Ukiona chalii wa R anakubali kaingizwa mkenge. uwona uweliwe
 
Kurugezi haiwezi kufanyia kazi habari za uzushi. Kwa nini waanzisha uzushi hawakwenda kupata taarifa rasimi kutoka kurugezi ya mawasiliano.!? Kurugezi ya mawasiliano ina majukumu yake rasimi.....!!!
 
We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.
Aliyempiga risasi Lissu ni unknown.
Na kama ni serikali basi possibly ilikuwa na sababu za muhimu....
Na ndio maana mimi ni mpinzani nisiyetegemea kuonewa na sijawahi kuonewa.
 
kila uzushi utahitaji national dialigue...
nice one... good english too...
We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…