Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

Nimetambua kuwa zhong thong ikipata dereva mzuri weka mbali na watoto, zinakula milima kama scania...
Hizi basi mchina yuko vizuri ingawa mnyama mkali hana mpinzani...
Hizo basi za kichina huwa hazitulii barabarani, ni kama zinapepesuka.....kuna siku nilipanda marcopolo ya Dar express kutoka Arusha-Dar, tulipofika same ikazingua ikabidi watuletee Yutong........aisee niliona tofauti kubwa mnoooo, marcopolo inatulia barabarani yaani husikii korogesheni wala kuyumba yumba. Ila tulivyopanda Yutong sasa unasikia kabisa kuyumba yumba na mtikisiko, ndo nikaamini kwa nini wanasema marcopolo moja unanunua Yutong tatu....
 
Zhong thong zinajitahidi.. nikikosa sauli kwenda mbeya napandaga ile new force ya golden deer au new force yenyewe...barabarani naona zinetulia..
 
Alàaa kumbe ee. Sikuwahi kujua hili
 
Acheni kufananisha Zhongi L360 Pump kubwa (DEER) na iyo 95

Izo climber matusi sna [emoji28][emoji28]

Asa zile 711 DPK ya Ostadhi Rama
Na ile 712 DPK ya big linyama (Ndugu abiria)



Mkeka wa uyole July 2021

KUFUNGUA GETI

DEER - 20
SAULI -10

Kuna ile DMG 618 (HUKU SIO MBEYA) ya Joshua aliefungiwa

Ile chuma inapanda acha tu [emoji119]
 
Mzungu amemshindwa mchina sa sijui inakuaje kwa mzungu alafu chuma mpya.

Hata Arusha to Mwanza yutong(loliondo) sikuhz ndo anaongoza alafu maroli yanafuata
So kapricon na mbwembwe zote zile za kufukia bumps anapigwa bakora na loliondo?.
 
Uzi wako umemkamatisha mtu muda si mrefu
 
Nimeshuhudia wakiendesha speed tofaut na alama za barabarani kama wanatoka mda mmoja kwann watofautiane masaa mengi yakufika kuna wakat nilimsikia deleva mmoja baada yakupitwa nasauli akasema ukimfata unakamatwa yy anaenda sauli akanywe
 
Naona uzi wa madereva wa magar makubwa huu aka mabasi ya mkoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…