Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015


Acha umbumbumbu wewe, miaka mitatu labda kama unahesabu kambale mnaovua pale jangwani. Yanga alifungwa bao 5 kwa sifuri April 2012, toka hapo yanga ameshinda sana mbele ya mnyama ni sare au kuchapwa bao 3 -1, 2-0 tu. Piga hesabu kama miaka 3 imeshapita toka april mwaka 2012,
Naomba leo niwabatize Yanga jina zuri la kisomi la Division 5 ya Mulugo.
 

Nyie mbumbumbu mbona hamtaki kujifunza? Hata hesabu ndogo tu ya kuhesabu misimu nayo inawapa shida. Any way ni jukumu letu kuwaelimisha maana tusipowaelimisha mtazidi kuwa mizigo huku Azam FC na Mbeya City wakiwabutua watakavyo.
Ligi haianzi May bali inamalizia May. Hivyo hizo goli 5 mlipewa msimu wa 2011-2012.
Toka hapo tuna misimu ifuatayo
1. 2012-2013
2. 2013-2014
3. 2014-2015 ambayo ndo tunaenda malizia May.
Ktk misimu hiyo miatatu taja mechi mliyoshinda. Ndiyo maana tunawaita wazee wa historia na kushadadia matukio ya kitambo.
 

Mkuu hao kuomba ban ni nafuu kwao maana wanajua kitakachowapata. Wanakimbia aibu jukwaani hawana lolote zaidi ya kutojiamini tu. Sisi tunajiamini Yanga wetu na tutafanya tutakavyo wajiandae kuzimia au kufa tena maana ni kawaida yao kwa miaka mitatu sasa.
Wanawapa kazi Red Cross kuzoa vinyesi vyao na kuwaosha mikojo na mapovu yao kila wakizimia Uwanjani kwa vipigo vya Simba.
 

Nenda kaulize kwa Ismael Aden Rage mambumbumbu ni akina nani. Hizo takwimu zako soma pia kwenye blogs za watu wengine upate ufahamu. Three years means three soccers seasons. Its like saying three financial years! They are not calender years as long as we talking about soccer. Chief Mbumbumbu usijitoe ufahamu and I am now ready to go for it.
 

Ni rahisi kumwelewesha mjinga kuliko mbumbumbu kama huyo. Hawezi kuelewa tofauti kati ya msimu/mwaka wa soka na mwaka wa kawaida (calender year).
 
Ni rahisi kumwelewesha mjinga kuliko mbumbumbu kama huyo. Hawezi kuelewa tofauti kati ya msimu/mwaka wa soka na mwaka wa kawaida (calender year).

Mkuu tuwasaidie tu, wanahitaji msaada mkubwa japo wenyewe hawajitambui.
 
Yanga ni mambumbumbu ya Divion 5 ya Mulugo

Aden Rage alieaita hivyo kutokana na umbumbumbu wenu.....
Endeleeni nao tu...
Ipo siku aveva atawaita mambumbumbu.
 
huhuhu...yanga presha zimepanda....kesho hatumwi motto dukani
 
Ni rahisi kumwelewesha mjinga kuliko mbumbumbu kama huyo. Hawezi kuelewa tofauti kati ya msimu/mwaka wa soka na mwaka wa kawaida (calender year).
acheni visingizio .kwani hizo me chi zingize zisizo za ligi mlikua mnaingiza timu c? si ni hii hii ya mababu?
 
Utabiri wangu...yanga 2 simba 1. Tukutane kesho.. Mimi ni mshabiki wa simba ila utabiri wangu ndio huo.
 
acheni visingizio .kwani hizo me chi zingize zisizo za ligi mlikua mnaingiza timu c? si ni hii hii ya mababu?

Ndio hii ya mababu akina Tambwe mwenye miaka 38 sasa lakini alikuwa na miaka kama 26 akiwa Mikia.
 
Mikia kesho lazima ikatwe pale taifa hilo halina shaka.
Simba 0-3 Yanga.

Hizo ni nyimbo za mipasho toka mwaka 2012 tunazisikia na bado tunamtafuna mtu mabao tunayotaka sisi, jipangeni mje na nyimbo mpya.
 

Ndiyo kusema Yanga lazima afungwe?
 
Wahapa hapa....hamna lolote miaka 50 hamna hata viwanja.....nazichukia sana hizi timu za kiswahili..
 
Wahapa hapa....hamna lolote miaka 50 hamna hata viwanja.....nazichukia sana hizi timu za kiswahili..

Timu za italy hazina viwanja binafsi,unavichukia? Na kama simba na yanga havina uwanja havichezi mpira? Wew ni shabiki wa mpira au shabiki wa viwanja? Ka shabiki wa viwanja basi shabikia ccm na serikali ndo wenye viwanja vingi bongo
 
Timu za italy hazina viwanja binafsi,unavichukia? Na kama simba na yanga havina uwanja havichezi mpira? Wew ni shabiki wa mpira au shabiki wa viwanja? Ka shabiki wa viwanja basi shabikia ccm
yahoo hapo nakupa 5 za nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Hizo ni nyimbo za mipasho toka mwaka 2012 tunazisikia na bado tunamtafuna mtu mabao tunayotaka sisi, jipangeni mje na nyimbo mpya.
Ni kitu ambacho hakiwezekaniki kwa simba kumfunga Yanga hiyo kesho, mikia hawana kipa mzuri, beki zao mbovu kuliko beki yoyote ile hapa Tanzania, viungo angalau kidogo wanavyo na kule mbele wanamtegemea lile jambazi la kiuganda liokwi ambapo cannavaro beki bora Africa mashariki atalibana lisifurukute. Beki ipi ya mikia inaweza kushindana na straikers kali za Yanga kama Msuva, Ngassa, Tambwe, Sherman na Continho ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…