Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

Nitamsubiri bingwa nichuane nae

Yule mkulima wa online walimshindwa?
Kati yako wewe na bingwa atakayeshinda aje tupambane online.
Pia kama kuna mkali wa chess I'm ready 24/7, hapo ndiyo ninapojiamini zaidi.
Online battle.
 
Kama CR7 anamkwepa Sisco why hapo juu ulisema mtu wa kumzuia Sisco angekuwa CR7? Wakati CR7 ameshasanda mapema.
Anamkwepa kwa vipwngere vyake ,lkn kwa mechi zao nilizoona ,Ronaldo ndiye anaweza kumzuia
 
Nimefurahi sana kuona hii post, dsm ndio jiko la wacheza draft tz,sisko memjulia chabela dom.wanajua sana hawa wachezaj wa dsm
 
Nje ya mada.. Hivi hayajapewa jina la mama kweli!?
 
Huyu Dogo Sisco ni fundi kweli kweli ila nasubiri sana game yake na Msomali wa Arusha au Ronaldo na Msomali

Hapo kipute kitqpigwa
Msomali atapigwa mzee... chuo cha draft Tanzania ni Manyanya mkuu..
 
Washiriki wengi wana majina ya "dogo", kwan hawakui?
Dogo sisco namfahamu huu mwaka unapita wa kumi, atazeeka akiwa na title hiyo hiyo ya 'dogo'
 
Huyo dogo Sisco nakumbuka kwenye ligi za ndani nimewahi kumtoa knock out,imekuaje ameweza kuwazuia wakongwe wa huo mchezo?
 
Kumbe Rooney(Haruni) ni kitoko tu hayupo kundi lolote lile
 
Huyo dogo Sisco nakumbuka kwenye ligi za ndani nimewahi kumtoa knock out,imekuaje ameweza kuwazuia wakongwe wa huo mchezo?
Hivi una uhakika na unachokiongea somo? Huyo dogo hafai 🀣
 
Huyo dogo Sisco nakumbuka kwenye ligi za ndani nimewahi kumtoa knock out,imekuaje ameweza kuwazuia wakongwe wa huo mchezo?
🀣🀣wapi hiyo
 
Nimefurahi sana kuona hii post, dsm ndio jiko la wacheza draft tz,sisko memjulia chabela dom.wanajua sana hawa wachezaj wa dsm
Simba wa kongwa Dom ,nae hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…