Kwahiyo kaishaitwa kusaini mkataba mpya baada ya awali unaoishia? Mchezaji hajaachwa inakuaje unamtakia heri ktika safari yake mpya ya soka?Unajua kusoma?? wapi hapo imeandikwa WAMEACHANA NAE?
Soma aya ya kwanza na yapili na yamwisho
Alivyokua akitumia jasho na damu alikua analipwa mapumbuh au hela ambazo nazo zinapatikana kwa jasho na damu?Maana yake timu nyingi ambazo zinacheza champions league haziwezi kumsajili kwa kuogopa kutomtumia huko,maana yake anakosa timu za maana kuchezea hapa Afrika
Huko ni kumkomoa mchezaji ambaye alitumia jasho na damu ktk kuichezea timu yako na kwasasa kama hauna matumizi yake hauna haja ya kuziba riziki yake
mwenyekiti wa zamani,changanyikeni punguza hasiraWewe Utopolo ulianza lini kuwa Simba?
Kwani mkataba mkuu unasemaje.?Umeonae? Alafu eti wanajiita klabu inayoendeshwa kisasa wakati inaendekeza mambo ya hovyo Kama haya, uswahili mwingi. Hakika bado tuna safari ndefu Sana.
Simba haikutamka kumuachilia BM3, hiyo barua inaeleza kumtakia mapumzuko mema na kila la kheri katika safari yake ya kimpira.Kwani ile barua waliandika simba ilijielezaje? Simba si wamesema wameachana na Morrison asa kama umeshasema mmefikia makubaliano ya kuachana kwanini wasimpe talaka yake?View attachment 2267389
Hii inaitwa waleteeeeeeeeee😂😂😂Simba wako sahihi kukausha.
Kikanuni, Mchezaji anaetaka kuondoka hana haki ya kuomba Release Letter.
Club mpya inayomtaka mchezaji ndio inayotakiwa kutoa taarifa ya nia ya kumuhitaji mchezaji, kisha iombe release letter. (Yanga haina mahusiano mema na Simba ndio maana inapata ugumu)
Unasema mpaka kifo kiwatenganishe!A mere joke!Teh!Kwani mkataba mkuu unasemaje.?
akipewa sasahivi atacheza timu gani? kama inamtaka kwanini wasimnunue?Maana yake timu nyingi ambazo zinacheza champions league haziwezi kumsajili kwa kuogopa kutomtumia huko,maana yake anakosa timu za maana kuchezea hapa Afrika
Huko ni kumkomoa mchezaji ambaye alitumia jasho na damu ktk kuichezea timu yako na kwasasa kama hauna matumizi yake hauna haja ya kuziba riziki yake
Mkatana uheshimiwe bwana. Tatizo utopolo much known ukijumlisha kejeli za zungu poro roporopo sasa waje tu kuomba release letter. Sema yanga hawawez kuja wanapenda vya bure. Ndio maana hata wakongo wao awamu iliyopita hawakushiriki CAF CL kwa maana walishindwa kuvunja mikataba wakasubiria mpaka iisheUnasema mpaka kifo kiwatenganishe!A mere joke!Teh!
Mkataba ukiisha kuna mawili kama timu inakutaka mnakaa mezani kuzungumzia terms mpya kama haikutaki inakuacha uende kama free agentKwahiyo kaishaitwa kusaini mkataba mpya baada ya awali unaoishia? Mchezaji hajaachwa inakuaje unamtakia heri ktika safari yake mpya ya soka?
Anayekomolewa hapa ni Morrison, nakumbuka kuna ishu ilitokea zamani kati ya Yanga nadhani na Dante. Yanga hawakumuingeza mkataba Dante wakawa wanapigana danadana tu na hawakusema kama hatutokuongezea mkataba. Hivyo akajikuta mkataba umeisha na dirisha la usajili limeshafungwa.Simba haikutamka kumuachilia BM3, hiyo barua inaeleza kumtakia mapumzuko mema na kila la kheri katika safari yake ya kimpira.
Kuianza safari yake nyingine katika maisha yake ya kimpira ni pamoja na ku-clear kisha kusaini katika team nyingine legally na sio kiholea kama mnavyotaka.
Sheria lazima ifuatwe kwa manufaa ya taasisi na mchezaji husika, huu uswahili wa kuendesha taasisi kwa hisia na fadhila ndo uliiyumbisha team yenu.
Safari mpya baaada ya mkataba kuisha, maana yake Simba haina nia yaku-renew mkataba baada ya huu kuisha, so avumilie au club nyingine ilete offer mezaniMchezaji hajaachwa inakuaje unamtakia heri ktika safari yake mpya ya soka?
Simba ipi iliyotangaza kuachana na Morison, aliyewaita Utopolo hakukosea kabisa.Utaratibu gani huo kama sio umbumbumbu na upumbavu. Umetangaza hadharani kuwa umeachana na mtu fulani kwanini usimpe barua ya kumwachia sasa
Mbona sijaona waliposema wameachana naye?Kwani ile barua waliandika simba ilijielezaje? Simba si wamesema wameachana na Morrison asa kama umeshasema mmefikia makubaliano ya kuachana kwanini wasimpe talaka yake?View attachment 2267389
Kwani maingizo yenu mapya msimu uliopita mangapi yakihusika kwenye mpira wa kimataifa ?Anayekomolewa hapa ni Morrison, nakumbuka kuna ishu ilitokea zamani kati ya Yanga nadhani na Dante. Yanga hawakumuingeza mkataba Dante wakawa wanapigana danadana tu na hawakusema kama hatutokuongezea mkataba. Hivyo akajikuta mkataba umeisha na dirisha la usajili limeshafungwa. Hili litatokea kwa Morrison, dirisha la usajili CAF limebakiza siku tisa tu lifungwe. Bila shaka mkataba wa Morrison unatamatika na sijui kama wamekaa mezani kwaajili ya kuongeza mkataba. Kama haijafanyika hilo, maanake huenda Morrison akakosa timu ya kuchezea mashindano ya kimataifa.