Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Maximum firing range yake inazidiwa na 270-M ya Egypt inayopiga hadi 300KM

Kwa maana hiyo Egypt ni superior na anatakiwa kuogopwa na North Korea.
Unajua kazi za MLRS?. Hizi ni tactical weapon na siyo strategical weapon kijana wangu. Ndio maana hata tanks hazitupi mabom mbali maana this are tactical weapons.

Ukitaka strategic weapons zipo nyingi tu NK.

ITABIDI NIFUNGUE DARASA NIANZE KUKUFUNDISHA. WEWE NI MWEUPE
 
Nenda kasome hapa wachambuzi wa South Korea utajua undani wake
Tumia google traslator

Google si uliikataa mwanzo leo hii inaweza kuaminika kwenye translation?

We si ndio ulikuwa unasema huwezi kuandika kitu ambacho hujakufanyia research, sasa kuufanya mjadala uwe rational na impressive tupe research yako uliyoifanya kuonesha uwezo wa hivyo vifaru.

Vinginevyo tutakuona mbabaishaji upo hapa kama mshehereshaji tu kutu-entertain.
 
Unajua kazi za MLRS?. Hizi ni tactical weapon na siyo strategical weapon kijana wangu. Ndio maana hata tanks hazitupi mabom mbali maana this are tactical weapons.

Ukitaka strategic weapons zipo nyingi tu NK.

ITABIDI NIFUNGUE DARASA NIANZE KUKUFUNDISHA. WEWE NI MWEUPE
Kama firing range sio kitu cha maana ilikuwaje ukaandika kwenye caption yako?

Hatutaki uturubuni kwa maneno yako.

Weka specs za silaha husika zinazoonesha ubora huo wa tactical unaoupigia debe

Ili na sisi tuangalie majeshi mengine tupime kama hicho kigezo kipo au kimekosekana.

Karibia vitu vyote unavyoviandika hapa kumpa sifa North Korea, vitu hivyo vipo kwenye majeshi ya Africa.
 
Google si uliikataa mwanzo leo hii inaweza kuaminika kwenye translation?

We si ndio ulikuwa unasema huwezi kuandika kitu ambacho hujakufanyia research, sasa kuufanya mjadala uwe rational na impressive tupe research yako uliyoifanya kuonesha uwezo wa hivyo vifaru.

Vinginevyo tutakuona mbabaishaji upo hapa kama mshehereshaji tu kutu-entertain.
Usilinilishe maneno ya uongo mdogo wangu. Wapi mimi nilikataa. Quote hiyo comment.

ACHA UONGO
 
Kama firing range sio kitu cha maana ilikuwaje ukaandika kwenye caption yako?

Hatutaki uturubuni kwa maneno yako.

Weka specs za silaha husika zinazoonesha ubora huo wa tactical unaoupigia debe

Ili na sisi tuangalie majeshi mengine tupime kama hicho kigezo kipo au kimekosekana.

Karibia vitu vyote unavyoviandika hapa kumpa sifa North Korea, vitu hivyo vipo kwenye majeshi ya Africa.
Nimekuambia tofautisha vitu viwili:-
1. Tactical Weapons
2. Strategical Weapons

Unajua tofauti?
 
Ngoja nikuongezee na hii

Hwasal-2​

1695029499874.png

1695029557360.png
 
Kama firing range sio kitu cha maana ilikuwaje ukaandika kwenye caption yako?

Hatutaki uturubuni kwa maneno yako.

Weka specs za silaha husika zinazoonesha ubora huo wa tactical unaoupigia debe

Ili na sisi tuangalie majeshi mengine tupime kama hicho kigezo kipo au kimekosekana.

Karibia vitu vyote unavyoviandika hapa kumpa sifa North Korea, vitu hivyo vipo kwenye majeshi ya Africa.
Ongezea na hii

Kumsong-3​

1695029689525.png

1695029716770.png
 
Kama firing range sio kitu cha maana ilikuwaje ukaandika kwenye caption yako?

Hatutaki uturubuni kwa maneno yako.

Weka specs za silaha husika zinazoonesha ubora huo wa tactical unaoupigia debe

Ili na sisi tuangalie majeshi mengine tupime kama hicho kigezo kipo au kimekosekana.

Karibia vitu vyote unavyoviandika hapa kumpa sifa North Korea, vitu hivyo vipo kwenye majeshi ya Africa.

KN-23​

1695030015696.png

1695030032168.png

1695030115554.png
 
Bila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU.

Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu waweze kuwapoteza? Kwanini Marekani anawekeza sana kwenye nchi za Japan na South Korea ili kupambana na hawa jamaa?

Kwanza kabisa historia inaanzia kipindi cha Cold war wakati West na East wakitafuta utukufu duniani. Kitendo kicho kilifanya Korea kugawanyika na kuwa katika sehemu mbili. Huku korea ya kusini ikipiga magoti kwa Western wakati Korea ya kaskazini ikijiimarisha na kulinda heshima yake.

NK iemeendelea kuimarisha jeshi lake tangu kipindi hicho kujua kwamba adui wao nambari moja ni Marekani. Huyu marekani amekuwa akitumia ushawishi wake huko UN na kuweka vikwazo rukuki NK. Akitegemea hawa jamaa watampigia magoti lakini wapi. Miaka inazidi kwenda tu.

Waziri wa Ulinzi wa Korean People's Army ni Comrade General Kang Sun-nam

Huku General Staff Department (GSD) Akiwa ni Comrade Vice Marshal Ri Yong-gil

IDADI YA WANAJESHI

NK Army linakadiliwa kuwa na Active Personnel 1,320,000 ombapo inaelezwa kuwa ni jeshi kubwa la nne duniani baada ya China, India na Marekani.

Jeshi hili limegawanyika katika kamadi tano:-
  1. KPA Ground Forces
  2. KPA Naval Forces
  3. KPA Air Force
  4. KPA Strategic Force
  5. KPA Special Operation Force
Nembo ya jeshi hili la korea ni

Usikae mbali na uzi huu nitakuletea hatu kwa hatua uwezo wa jeshi hili.....
America unaijua unisikia? Hilo ni jeshi dogo sana ndugu yangu, Wala halijashinda teknolojia ya America, ila ukiniambia America inaweza kuiogopa China na Russia ntakubali, lakini hawa waKorea wachache tu hawa siyo kweli
 
Marekani anaogopa nyuklia kuliko kitu kingine kumbuka korea akiingia vitani hana cha kupoteza sasa haofii wananchi watasema nini ikitokea maafa tofauti na marekani ambaye bomu la nyuklia likipigwa pale washington nini kitatokea
Umesema vema na ndivyo ilivyo. N. Korea ni kama mtu na jirani yake ambaye ni kichaa. Huyu mwenye akili timamu yafaa atumie akili sana kuishi na chizi. Chizi (N. Korea) siku zote HANA CHA KUPOTEZA. Anaweza kutumia nuklia bila hata kutafakari kwamba jirani yake naye akitumia silaha hiyo kumtwanga madhara yatakuwa makubwa pia kwake. HUYO NDIYE MTU AMBAYE HANA CHA KUPOTEZA, MASKINI JEURI. Hakuna haja ya kupambana na mtu asiye na cha kupoteza.
 
America unaijua unisikia? Hilo ni jeshi dogo sana ndugu yangu, Wala halijashinda teknolojia ya America, ila ukiniambia America inaweza kuiogopa China na Russia ntakubali, lakini hawa waKorea wachache tu hawa siyo kweli
Weka proof mzee. Haya yote uliyoyaandika tunayajua since Korean War
 
Nuke moja ya North Korea yenye uwezo wa 300kt inaweza kuteketeza New York City yote kwa sekunde tu

View attachment 2753153

hwasong-18 inaweza kubeba vichwa vya nuclear zaidi ya kimoja.
Ila we jamaa ni comedian sana basi tu umekosa mtu wa kuku-push.

Yani mwenye neukes zaidi ya 5K amuofie mwenye Neukes 50 kweli?
1695031191854.png

Sasa umefikiria USA atahitaji Nuclear zenye uzito kiasi gani kuilipua North Korea?
 
Umesema vema na ndivyo ilivyo. N. Korea ni kama mtu na jirani yake ambaye ni kichaa. Huyu mwenye akili timamu yafaa atumie akili sana kuishi na chizi. Chizi (N. Korea) siku zote HANA CHA KUPOTEZA. Anaweza kutumia nuklia bila hata kutafakari kwamba jirani yake naye akitumia silaha hiyo kumtwanga madhara yatakuwa makubwa pia kwake. HUYO NDIYE MTU AMBAYE HANA CHA KUPOTEZA, MASKINI JEURI. Hakuna haja ya kupambana na mtu asiye na cha kupoteza.
Kama hana haja ya kupambana na NK kwanini anaweka majeshi yake Japan na South Korea? Aondoe majeshi yake apeleke kwake.
 
Ila we jamaa ni comedian sana basi tu umekosa mtu wa kuku-push.

Yani mwenye neukes zaidi ya 5K amuofie mwenye Neukes 50 kweli?
View attachment 2753364
Sasa umefikiria USA atahitaji Nuclear zenye uzito kiasi gani kuilipua North Korea?
Hiyo ripoti ya mwaka gani? Umekimbia kuhusu Main Battle Tanks
 
Usilinilishe maneno ya uongo mdogo wangu. Wapi mimi nilikataa. Quote hiyo comment.

ACHA UONGO?
We si ulikuwa una beza data zangu na kusema nime google au ulikuwa una maanisha nini ulipoziacha hoja na kusema na google?
 
Nimekuambia uweke hiyo comment hapa.
ACHA UONGO
 
Nimekuambia tofautisha vitu viwili:-
1. Tactical Weapons
2. Strategical Weapons

Unajua tofauti?
Nitajua vipi tofauti na wakati nimekuwa nikisisitiza kuwa uweke mchanganuo kila kitu kiwe bayana watu tujue badala yake una post mapicha tu.

Weka hizo tactical weapons ziwekee na sifa zake halafu tuachie watu tufanye comparison kwenye majeshi mengine.

Na unaweza kuta hata hii post ukaijibu kwa maneno tupu usiweke hizo specs kama ilivyo kawaida yenu Wakurya
 
No-Dong-B
1695031587730.png

No-Dong-B missile has a range of approximately 4,000 km maximum. The accuracy of the missile is believed to be 1,600 m CEP when deployed at maximum range. The missile is equipped with a 1,200 kg separating warhead that can deploy 800 kg of HE-unitary, chemical, submunitions, biological, or nuclear weapons. According to one report, the new missile is 12 meters long and 1.5 meters in diameter.
 
Back
Top Bottom