Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #241
Unajua kazi za MLRS?. Hizi ni tactical weapon na siyo strategical weapon kijana wangu. Ndio maana hata tanks hazitupi mabom mbali maana this are tactical weapons.Maximum firing range yake inazidiwa na 270-M ya Egypt inayopiga hadi 300KM
Kwa maana hiyo Egypt ni superior na anatakiwa kuogopwa na North Korea.
Google si uliikataa mwanzo leo hii inaweza kuaminika kwenye translation?Nenda kasome hapa wachambuzi wa South Korea utajua undani wake
Tumia google traslator
Kama firing range sio kitu cha maana ilikuwaje ukaandika kwenye caption yako?Unajua kazi za MLRS?. Hizi ni tactical weapon na siyo strategical weapon kijana wangu. Ndio maana hata tanks hazitupi mabom mbali maana this are tactical weapons.
Ukitaka strategic weapons zipo nyingi tu NK.
ITABIDI NIFUNGUE DARASA NIANZE KUKUFUNDISHA. WEWE NI MWEUPE
Usilinilishe maneno ya uongo mdogo wangu. Wapi mimi nilikataa. Quote hiyo comment.Google si uliikataa mwanzo leo hii inaweza kuaminika kwenye translation?
We si ndio ulikuwa unasema huwezi kuandika kitu ambacho hujakufanyia research, sasa kuufanya mjadala uwe rational na impressive tupe research yako uliyoifanya kuonesha uwezo wa hivyo vifaru.
Vinginevyo tutakuona mbabaishaji upo hapa kama mshehereshaji tu kutu-entertain.
Nimekuambia tofautisha vitu viwili:-Kama firing range sio kitu cha maana ilikuwaje ukaandika kwenye caption yako?
Hatutaki uturubuni kwa maneno yako.
Weka specs za silaha husika zinazoonesha ubora huo wa tactical unaoupigia debe
Ili na sisi tuangalie majeshi mengine tupime kama hicho kigezo kipo au kimekosekana.
Karibia vitu vyote unavyoviandika hapa kumpa sifa North Korea, vitu hivyo vipo kwenye majeshi ya Africa.
Ngoja nikuongezee na hiiKama firing range sio kitu cha maana ilikuwaje ukaandika kwenye caption yako?
Hatutaki uturubuni kwa maneno yako.
Weka specs za silaha husika zinazoonesha ubora huo wa tactical unaoupigia debe
Ili na sisi tuangalie majeshi mengine tupime kama hicho kigezo kipo au kimekosekana.
Karibia vitu vyote unavyoviandika hapa kumpa sifa North Korea, vitu hivyo vipo kwenye majeshi ya Africa.
Ongezea na hiiKama firing range sio kitu cha maana ilikuwaje ukaandika kwenye caption yako?
Hatutaki uturubuni kwa maneno yako.
Weka specs za silaha husika zinazoonesha ubora huo wa tactical unaoupigia debe
Ili na sisi tuangalie majeshi mengine tupime kama hicho kigezo kipo au kimekosekana.
Karibia vitu vyote unavyoviandika hapa kumpa sifa North Korea, vitu hivyo vipo kwenye majeshi ya Africa.
Kama firing range sio kitu cha maana ilikuwaje ukaandika kwenye caption yako?
Hatutaki uturubuni kwa maneno yako.
Weka specs za silaha husika zinazoonesha ubora huo wa tactical unaoupigia debe
Ili na sisi tuangalie majeshi mengine tupime kama hicho kigezo kipo au kimekosekana.
Karibia vitu vyote unavyoviandika hapa kumpa sifa North Korea, vitu hivyo vipo kwenye majeshi ya Africa.
America unaijua unisikia? Hilo ni jeshi dogo sana ndugu yangu, Wala halijashinda teknolojia ya America, ila ukiniambia America inaweza kuiogopa China na Russia ntakubali, lakini hawa waKorea wachache tu hawa siyo kweliBila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU.
Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu waweze kuwapoteza? Kwanini Marekani anawekeza sana kwenye nchi za Japan na South Korea ili kupambana na hawa jamaa?
Kwanza kabisa historia inaanzia kipindi cha Cold war wakati West na East wakitafuta utukufu duniani. Kitendo kicho kilifanya Korea kugawanyika na kuwa katika sehemu mbili. Huku korea ya kusini ikipiga magoti kwa Western wakati Korea ya kaskazini ikijiimarisha na kulinda heshima yake.
NK iemeendelea kuimarisha jeshi lake tangu kipindi hicho kujua kwamba adui wao nambari moja ni Marekani. Huyu marekani amekuwa akitumia ushawishi wake huko UN na kuweka vikwazo rukuki NK. Akitegemea hawa jamaa watampigia magoti lakini wapi. Miaka inazidi kwenda tu.
Waziri wa Ulinzi wa Korean People's Army ni Comrade General Kang Sun-nam
Huku General Staff Department (GSD) Akiwa ni Comrade Vice Marshal Ri Yong-gil
IDADI YA WANAJESHI
NK Army linakadiliwa kuwa na Active Personnel 1,320,000 ombapo inaelezwa kuwa ni jeshi kubwa la nne duniani baada ya China, India na Marekani.
Jeshi hili limegawanyika katika kamadi tano:-
Nembo ya jeshi hili la korea ni
- KPA Ground Forces
- KPA Naval Forces
- KPA Air Force
- KPA Strategic Force
- KPA Special Operation Force
Usikae mbali na uzi huu nitakuletea hatu kwa hatua uwezo wa jeshi hili.....
Umesema vema na ndivyo ilivyo. N. Korea ni kama mtu na jirani yake ambaye ni kichaa. Huyu mwenye akili timamu yafaa atumie akili sana kuishi na chizi. Chizi (N. Korea) siku zote HANA CHA KUPOTEZA. Anaweza kutumia nuklia bila hata kutafakari kwamba jirani yake naye akitumia silaha hiyo kumtwanga madhara yatakuwa makubwa pia kwake. HUYO NDIYE MTU AMBAYE HANA CHA KUPOTEZA, MASKINI JEURI. Hakuna haja ya kupambana na mtu asiye na cha kupoteza.Marekani anaogopa nyuklia kuliko kitu kingine kumbuka korea akiingia vitani hana cha kupoteza sasa haofii wananchi watasema nini ikitokea maafa tofauti na marekani ambaye bomu la nyuklia likipigwa pale washington nini kitatokea
Weka proof mzee. Haya yote uliyoyaandika tunayajua since Korean WarAmerica unaijua unisikia? Hilo ni jeshi dogo sana ndugu yangu, Wala halijashinda teknolojia ya America, ila ukiniambia America inaweza kuiogopa China na Russia ntakubali, lakini hawa waKorea wachache tu hawa siyo kweli
Ila we jamaa ni comedian sana basi tu umekosa mtu wa kuku-push.Nuke moja ya North Korea yenye uwezo wa 300kt inaweza kuteketeza New York City yote kwa sekunde tu
View attachment 2753153
hwasong-18 inaweza kubeba vichwa vya nuclear zaidi ya kimoja.
Kama hana haja ya kupambana na NK kwanini anaweka majeshi yake Japan na South Korea? Aondoe majeshi yake apeleke kwake.Umesema vema na ndivyo ilivyo. N. Korea ni kama mtu na jirani yake ambaye ni kichaa. Huyu mwenye akili timamu yafaa atumie akili sana kuishi na chizi. Chizi (N. Korea) siku zote HANA CHA KUPOTEZA. Anaweza kutumia nuklia bila hata kutafakari kwamba jirani yake naye akitumia silaha hiyo kumtwanga madhara yatakuwa makubwa pia kwake. HUYO NDIYE MTU AMBAYE HANA CHA KUPOTEZA, MASKINI JEURI. Hakuna haja ya kupambana na mtu asiye na cha kupoteza.
Hiyo ripoti ya mwaka gani? Umekimbia kuhusu Main Battle TanksIla we jamaa ni comedian sana basi tu umekosa mtu wa kuku-push.
Yani mwenye neukes zaidi ya 5K amuofie mwenye Neukes 50 kweli?
View attachment 2753364
Sasa umefikiria USA atahitaji Nuclear zenye uzito kiasi gani kuilipua North Korea?
We si ulikuwa una beza data zangu na kusema nime google au ulikuwa una maanisha nini ulipoziacha hoja na kusema na google?Usilinilishe maneno ya uongo mdogo wangu. Wapi mimi nilikataa. Quote hiyo comment.
ACHA UONGO?
Nimekuambia uweke hiyo comment hapa.We si ulikuwa una beza data zangu na kusema nime google au ulikuwa una maanisha nini ulipoziacha hoja na kusema na google?
Nitajua vipi tofauti na wakati nimekuwa nikisisitiza kuwa uweke mchanganuo kila kitu kiwe bayana watu tujue badala yake una post mapicha tu.Nimekuambia tofautisha vitu viwili:-
1. Tactical Weapons
2. Strategical Weapons
Unajua tofauti?
Nimekuambia uweke hiyo comment hapa.
ACHA UONGO
Ya mwaka huuHiyo ripoti ya mwaka gani? Umekimbia kuhusu Main Battle Tanks