Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

KN-15 Pukguksong-2 medium-range ballistic missile
1694944041759.png
 
Musudan Medium-Range Ballistic Missile
1694944108433.png


The missile has a range of approximately 4,000 km maximum. It is equipped with a 1,200 kg separating warhead that can deploy 800 kg of HE-unitary, chemical, submunitions, biological, or nuclear weapons.
 
Hao wakorea walishawahi kupigana na nani hv karibuni na wakashinda vita?

Kutengeneza masilaha ya kivita harafu huyatumii ni matumizi mabaya ya akili.
Marekani anaogopa nyuklia kuliko kitu kingine kumbuka korea akiingia vitani hana cha kupoteza sasa haofii wananchi watasema nini ikitokea maafa tofauti na marekani ambaye bomu la nyuklia likipigwa pale washington nini kitatokea
 
Back
Top Bottom