Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #21
KN-15 Pukguksong-2 medium-range ballistic missile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, wewe unaishi kibera au mathare? 🤣 🤣 🤣Korea Kaskazini ya Kiduku wameshaacha kupokea msaada wa Chakula kutoka Korea Kusini na China??
Marekani anaogopa nyuklia kuliko kitu kingine kumbuka korea akiingia vitani hana cha kupoteza sasa haofii wananchi watasema nini ikitokea maafa tofauti na marekani ambaye bomu la nyuklia likipigwa pale washington nini kitatokeaHao wakorea walishawahi kupigana na nani hv karibuni na wakashinda vita?
Kutengeneza masilaha ya kivita harafu huyatumii ni matumizi mabaya ya akili.
Unaongelea miaka hiyo wewe hujazaliwa.Mwaka 1994 - 1998 Korea Kaskazini walikuwa na njaa iitwayo March of Suffering/Arduous March ambapo inakadiriwa raia Milioni 3 walikufa kwa upumbavu wa familia ya Kim Jong
Tutasikia mengi sanaKN-14 ICBM
View attachment 2752146
View attachment 2752147
Wamarekani wakiona haya mambo wanaanza kujikojolea
We jamaa bwana sasa ndio umeandika nini?Marekani haliogopi jeshi la N.Korea anacho kiogopa ni maamuzi ya Kim Jong-Un
Wapi nimekwambia kua nimeumia?Hahahaha Umeumia mimi kuandika TUMSIFU YESU KRISTU?
USA mbali
Unaninyima uhuru wangu wa kufurahia matunda ya TZ ya uhuru wa kujielezaWapi nimekwambia kua nimeumia?
Nakupa tu elimu kua unapoweka bandiko lako kwenye jamii za watu wenye imani mbalimbali jaribu kujibalance,
hili bandiko lako ungelituma Kanisani ndio ingekua sawa.
Hili ni jibu la akiliMarekani haliogopi jeshi la N.Korea anacho kiogopa ni maamuzi ya Kim Jong-Un
Kama hutaki kuelimishwa basi endelea kufuga ujinga.