Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Mkuu muwe mnajaribu kuweka source za habari ambazo hata wewe umezitafuta.

Hii siyo historia iliyotoka kichwani kwako. Lazima uweke source. Ili habari iweze kuwa verified.

Kwasababu unaposema South Korea wali surrender kwa west unasema uongo.

Korea kabla ya vita yao ya wenyewe kwa wenyewe, ilikuwa inakaliwa kimabavu na Japan.

Upande wa North ambao walikuwa wako supported na warusi, walikataa uchaguzi usifanyike.

In November 1947, the United Nations created a task force to hold free elections across Korea to establish a new national government. However, the Soviet Union denied this task force to operate in its zone north of the 38th parallel, thus formalizing a division between free South Korea and communist North Korea.
ow did North Korea and South Korea get divided?

The Korean War started on 25 June 1950 and ended on 27 July 1953, after the signing of an armistice agreeing that the country would remain divided. At the end of the Second World War, Korea – which had formerly been occupied by the Japanese – was divided along the 38th parallel.
 
Kwa hiyo zile specs ulizoweka pale ulikuwa umejitngia? Maana kwenye source yako hakuna maelezo hayo ynayoelezea sifa za hiyo ICBM

View attachment 2753531
Bado unaendelea.
 
Mkuu muwe mnajaribu kuweka source za habari ambazo hata wewe umezitafuta.

Hii siyo historia iliyotoka kichwani kwako. Lazima uweke source. Ili habari iweze kuwa verified.

Kwasababu unaposema South Korea wali surrender kwa west unasema uongo.

Korea kabla ya vita yao ya wenyewe kwa wenyewe, ilikuwa inakaliwa kimabavu na Japan.

Upande wa North ambao walikuwa wako supported na warusi, walikataa uchaguzi usifanyike.

In November 1947, the United Nations created a task force to hold free elections across Korea to establish a new national government. However, the Soviet Union denied this task force to operate in its zone north of the 38th parallel, thus formalizing a division between free South Korea and communist North Korea.
ow did North Korea and South Korea get divided?

The Korean War started on 25 June 1950 and ended on 27 July 1953, after the signing of an armistice agreeing that the country would remain divided. At the end of the Second World War, Korea – which had formerly been occupied by the Japanese – was divided along the 38th parallel.
Sijaelewa hii comment inauhusiano gani na thread hii.
 
Hakuna ICBM ya North Korea yenye kufika uwezo kwenye hii LGM-30G Minuteman intercontinental ballistic missile (ICBM)
View attachment 2753499

View attachment 2753488
Nakuongezea
NB: USA project Cancelled. Halafu hatujaweka Hwasong-18

1695038144391.png
 
So lengo la hii data ni maalumu kwa ajili ya kuonesha nani bora?

Maana nikiangalia aliyepo juu na aliyepo chini wote hawapo kwenye mjadala so nashindwa kupata muunganiko nani hapa anakusudiwa
Unashindwa kupata wakati wewe unaandika UONGO.
Hapo huoni NK ipo juu ya USA?
 
So lengo la hii data ni maalumu kwa ajili ya kuonesha nani bora?

Maana nikiangalia aliyepo juu na aliyepo chini wote hawapo kwenye mjadala so nashindwa kupata muunganiko nani hapa anakusudiwa
USA ni mbwembwe nyingi tu

1695039269618.png
 
Hakuna generation nyingine USA baada ya hiyo.
Ukweli huu hapa

View attachment 2753580
Sawa

Ila naomba kujua kwanini kila inapotajwa orodha ya ICBM bora huwa hatuioni hiyo ya North Korea?

Ebu angalia hapa halafu uniambie kwanini factor ya maximum operating range haijatosha kuifanya ICBM ya mkorea iwepo?

Nimekwambia uweke za USA. Mbona huweki mtu wangu wa nguvu?
Kwenye Main Battle Tank umekimbia
Sasa ofsa mbona unarudia kuandika yale yale ambayo nimeyajibu na hujaya refute?

Nilikujibu kuwa Main Tank Battle ya North Korea uliyoiweka ni inferior kwa South Korea nikakupa na sababu

Nikakutajia na series ya K1, K2 ambazo ni latest sijui kama ulijibu
 
Sawa

Ila naomba kujua kwanini kila inapotajwa orodha ya ICBM bora huwa hatuioni hiyo ya North Korea?

Ebu angalia hapa halafu uniambie kwanini factor ya maximum operating range haijatosha kuifanya ICBM ya mkorea iwepo?

Niambie hii ripoti unaleta ya mwaka gani? Ukute unaleta ya 1991 wakati wa kuanguka kwa soviet union.
Tuambie ni ya lini?
Hii hapa ya 2019 namuna USA ananing'inia mkiani

Sasa ofsa mbona unarudia kuandika yale yale ambayo nimeyajibu na hujaya refute?

Nilikujibu kuwa Main Tank Battle ya North Korea uliyoiweka ni inferior kwa South Korea nikakupa na sababu

Nikakutajia na series ya K1, K2 ambazo ni latest sijui kama ulijibu
Nimekupa link sema wewe ni mzembe sana.
1695042376546.png

Bonyeza hapo nilipozungushia upate Translato but tumia goole chrome
 
Back
Top Bottom