KIKI CORAL
Senior Member
- May 10, 2023
- 183
- 313
huyu jamaa aliyewafunga ndugu zake anatokea mkoa wa Kilimanajro wilaya ya Rombo, ana kiwanda cha ngozi na viatu salasala na maduka kariakoo bila shaka ndio yeyeBrother, I will try to kill a Judas cause he will hang himself.
Siwezi kumfuatilia kwa chochote cause I don't like his behaviour.
Kuhusu kutowahi kutoka nje ya Afrika hilo ndilo limemfanya anichukie mpaka leo kwa sababu Mimi nimewahi toka nje ya Afrika mara nyingi na sijaenda kimasomo.
Nimeenda nje ya Afrika before him so amejenga chuki kwa sababu akiamini yeye ndo alipaswa kuwa ameenda abroad before me.
Niliposikia kajenga ukweni kwao nilijisikia vibaya sana na Mimi nikajenga nyumba nje ya mji nokawapa zawadi wazazi wangu baba na mama waishi. Pamoja na kwamba baba na mama hawakuwa na shida ya nyumba lakini nilifanya hivyo kuwapa ile faraja " mtoto wetu katujengea nyumba"
He is hating on me for that mkuu haongei na Mimi toka 2019.
Ndio maana nikasema ukisha muwa na hii mentality is kudhani kwamba wewe umefanikiwa kushinda watu wengine na kwamba they envy on you u can end up being a witch when u realize that they are actually richer than you and they dont give a inch about you.
Kuna tajiri mmoja maarufu jijini Dar anatoka mkoa jina siutaji yeye ana ofisi kubwa sana hapo mjini. Na yeye ana tabia hii.
Yeye alicho kifanya ni kuwafunga ndugu zake wote walio Soma au wanao pambana kutoka.
Kuwafunga vipi?
Kawaajiri kwenye biashara na makampuni yake. Maana yake ni kwamba yeye ndo anaamua wapate hela kiasi gani kwa mwezi.
Ukionekana umepiga hatua kidogo kimaendeleo anasema unamuibia.
Mkuu Mimi kwa filosofi yangu ya maisha ni ngumu mno kumuonea wivu mtu kwa sababu naamini kwa vitendo:
1. Duniani tunapita( duniani tupo stendi)
2. We did not create this world it was rather given to us or forced upon us.
Yani nimuonee wivu wa kimaendeleo mtu ambae nimekutana nae stendi.