ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Unamtetea tu!😂 mtu aliyefanikiwa hata afanye jambo gani watu watalikuzaHamna bhana kaka yake ni kwel anatembea kama ana busha[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtetea tu!😂 mtu aliyefanikiwa hata afanye jambo gani watu watalikuzaHamna bhana kaka yake ni kwel anatembea kama ana busha[emoji4]
Haya mambo yapo mkuu, nilishaona nungunungu mmoja mfupi kanunua kajigari , akawa anatembea kwa kujitanua kama njiwa dume.Unamtetea tu![emoji23] mtu aliyefanikiwa hata afanye jambo gani watu watalikuza
Usemayo ni kweli!Haya mambo yapo mkuu, nilishaona nungunungu mmoja mfupi kanunua kajigari , akawa anatembea kwa kujitanua kama njiwa dume.
Hapa kuna kosa gani??ukijenga nyumba ukweni na kusomesha mashemeji lazima udharauliwe tu mkuu.
Tena kajenga nyumba mbili moja kwa baba mkwe ( kijijini) nyingine kwa mama mke( kijijini)
Source : Yeye mwenyewe anajisifu. Mtu kama huyu usipomdharau basi hutokuja kudharau mtu mwingine tena.
OkayHapa kuna kosa gani??
Kama amezaa na huyo mwanamke wake huoni kama ni vema sana hayo aliyoyafanya??
Mm nazani ameandaa mazingra mazuri ya watoto wake pindi watakapokuwa wanatembelea babu na bibi yao.
Unajisikiaje mjini mkae sehemu safi lkn kijijin ambako niko kwenye asili yenu kuko ovyo??
Mm binafsi nampongeza jamaa KWa kuweka mazingira rafiki KWa wanawe hapo mbeleni
Mimi nina pinga kichwa cha uzi wako,siyo ugonjwa bali ndio ukweli uko hivyo.Wewe unaesoma Uzi huu bila shaka :
1. Umewahi KUKUTANA na mtu mwenye tatizo kama hili. Au
2. Wewe mwenyewe una tatizo hilo ila hujui kama upo nalo.
Tatizo hili mara nyingi humkuta mtu ambae amepiga hatua kidogo kwenye maisha au amepata breakthrough kiuchumi jambo ambalo yeye analitafsiri kama mafanikio..
Mtu huyu ataanza kuamini kwamba watu waliomzunguka hususani watu wake wa karibu ambao yeye ana amini amewazidi ki maisha, wanamchukia ama wanamuonea wivu and he will start to act and behave accordingly.
Ninayo mifano hai miwili:
1. Mpangaji wetu mwaka 2003.
Huyu jamaa alikuwa ndo kamaliza shule pale udsm. Alikuja kupanga nyumbani kwetu. Mwanzoni maisha yake yalikuwa magumu sana alikuwa analala chini na alidumu katika hali hiyo for almost 2 months. Mbaya zaidi wapangaji wenzake walikuwa wanamtangaza kwa watu kwamba analala chini.
Alipopiga buu baa alinunua gari halafu pale kwenye chumba na sebule alichopanga akaweka tv Kali fenicha na Mziki mnene..
Mbaya zaidi akawa anapiga muziki kwa sauti ya juu. Wapangaji wenzake wakimwambia apunguze sauti akawa anawafanyia ukaidi. Wakamshitaki kwa mshua( baba mwenye nyumba) ambae yeye alikuwa haishi hapo.
Mshua alipozungumza na jamaa, jamaa akasema wanamuonea wivu tu.
Baada ya tabia ya jamaa kuendelea mshua akampa notice. Jamaa kaondoka na kwenda kupanga sehemu nyingine huku akiwa ana amini kwamba amefukuzwa kwenye nyumba kwa sababu watu wanamuonea husda " mafanikio" yake na sio kwa sababu ya usumbufu wake kwa majirani.
Mfano wa pili: my own brother.
1. He is my own brother from the SAME -FATHER MOTHER.
2. Tumezaliwa tumbo moja ila mimba mbalimbali.
3. He is the first born in our family. He was born in the 70s. Mimi namfuata mara ya 5 am the last born in the family.
4. Alikuwa mtu wa kwanza kwenye familia yetu na partly kwenye ukoo wetu;
I. Kufika chuo kikuu
ii. Kununua gari.
Iii. Kutoka nje ya Tanzania ( sio nje ya Afrika/ hajawahi toka nje ya Afrika).
iii. Kujenga nyumba.
iv. Kujenga nyumba ukweni( he will be the first and the last to do this kind of abomination)
Kwa sababu hiyo jamaa kwa muda mrefu sana amekuwa akiamini sana kwamba yeye ndio mtu mwenye mafanikio kuliko watu wote kwenye familia yetu na partly ukoo wetu.
Na amekuwa aki behave accordingly. Hata tembea yake akija kwenye vikao na matukio ya familia na ukoo huwaga anatembea kama mtu ambae ametoka kucheza mpira wa ndondo amechoka jambo ambalo tafsiri yake kisaikolojia ni kwamba anaamini ameshayamaliza na kwamba nyinyi watu wengine mnacheza...
Watu wanamchora wanamuona to bishoo kwa sababu some of us have more money than him.
Kama wewe unaesoma Uzi huu upo kwenye kundi hilo please wacha mara moja tabia hiyo kwa sababu mwisho wa siku watu wenye tatizo hili huwaga wanaishia kuwa wachawi hasa pale unapoona watu ambao unadhani wewe unapesa kushinda wao, wana mafanikio makubwa kushinda wewe and they dont act strangely as you do.
Ogopa sana mchawi wa namna hii kwa sababu yupo tayari hata kuchinja n'gombe mmoja kila siku ili usifanikiwe...
Hujambo?Kila kitu ni namna unavyokitazama
Ni zaidi ya uchawiKwenye maisha kumpangia mtu matumizi pesa aliyoitafuta kwa jasho lake ndio uchawi mkubwa zaidi.
Sio kila sehemu kuna maeneo ambayo lazima uongee tu...

Na Tajiri wa utotoni?Utajiri wa ukubwani huwa una matatizo yake tofauti na ule wa kuukuta na kukua nao. Tajiri wa ukubwani hata ukimsalimia anaona unataka kumuomba hela
Hii psychology inanisumbua mie mno buy infact I have $250k kwenye akauntiWewe unaesoma Uzi huu bila shaka :
1. Umewahi KUKUTANA na mtu mwenye tatizo kama hili. Au
2. Wewe mwenyewe una tatizo hilo ila hujui kama upo nalo.
Tatizo hili mara nyingi humkuta mtu ambae amepiga hatua kidogo kwenye maisha au amepata breakthrough kiuchumi jambo ambalo yeye analitafsiri kama mafanikio..
Mtu huyu ataanza kuamini kwamba watu waliomzunguka hususani watu wake wa karibu ambao yeye ana amini amewazidi ki maisha, wanamchukia ama wanamuonea wivu and he will start to act and behave accordingly.
Ninayo mifano hai miwili:
1. Mpangaji wetu mwaka 2003.
Huyu jamaa alikuwa ndo kamaliza shule pale udsm. Alikuja kupanga nyumbani kwetu. Mwanzoni maisha yake yalikuwa magumu sana alikuwa analala chini na alidumu katika hali hiyo for almost 2 months. Mbaya zaidi wapangaji wenzake walikuwa wanamtangaza kwa watu kwamba analala chini.
Alipopiga buu baa alinunua gari halafu pale kwenye chumba na sebule alichopanga akaweka tv Kali fenicha na Mziki mnene..
Mbaya zaidi akawa anapiga muziki kwa sauti ya juu. Wapangaji wenzake wakimwambia apunguze sauti akawa anawafanyia ukaidi. Wakamshitaki kwa mshua( baba mwenye nyumba) ambae yeye alikuwa haishi hapo.
Mshua alipozungumza na jamaa, jamaa akasema wanamuonea wivu tu.
Baada ya tabia ya jamaa kuendelea mshua akampa notice. Jamaa kaondoka na kwenda kupanga sehemu nyingine huku akiwa ana amini kwamba amefukuzwa kwenye nyumba kwa sababu watu wanamuonea husda " mafanikio" yake na sio kwa sababu ya usumbufu wake kwa majirani.
Mfano wa pili: my own brother.
1. He is my own brother from the SAME -FATHER MOTHER.
2. Tumezaliwa tumbo moja ila mimba mbalimbali.
3. He is the first born in our family. He was born in the 70s. Mimi namfuata mara ya 5 am the last born in the family.
4. Alikuwa mtu wa kwanza kwenye familia yetu na partly kwenye ukoo wetu;
I. Kufika chuo kikuu
ii. Kununua gari.
Iii. Kutoka nje ya Tanzania ( sio nje ya Afrika/ hajawahi toka nje ya Afrika).
iii. Kujenga nyumba.
iv. Kujenga nyumba ukweni( he will be the first and the last to do this kind of abomination)
Kwa sababu hiyo jamaa kwa muda mrefu sana amekuwa akiamini sana kwamba yeye ndio mtu mwenye mafanikio kuliko watu wote kwenye familia yetu na partly ukoo wetu.
Na amekuwa aki behave accordingly. Hata tembea yake akija kwenye vikao na matukio ya familia na ukoo huwaga anatembea kama mtu ambae ametoka kucheza mpira wa ndondo amechoka jambo ambalo tafsiri yake kisaikolojia ni kwamba anaamini ameshayamaliza na kwamba nyinyi watu wengine mnacheza...
Watu wanamchora wanamuona to bishoo kwa sababu some of us have more money than him.
Kama wewe unaesoma Uzi huu upo kwenye kundi hilo please wacha mara moja tabia hiyo kwa sababu mwisho wa siku watu wenye tatizo hili huwaga wanaishia kuwa wachawi hasa pale unapoona watu ambao unadhani wewe unapesa kushinda wao, wana mafanikio makubwa kushinda wewe and they dont act strangely as you do.
Ogopa sana mchawi wa namna hii kwa sababu yupo tayari hata kuchinja n'gombe mmoja kila siku ili usifanikiwe...
Na Tajiri wa utotoni?