Lijue tatizo jipya la kisaikolojia ambapo mtu aliyepata "mafanikio" kwenye maisha yake huamini kwamba watu wake wa karibu wanamchukia

huyu jamaa aliyewafunga ndugu zake anatokea mkoa wa Kilimanajro wilaya ya Rombo, ana kiwanda cha ngozi na viatu salasala na maduka kariakoo bila shaka ndio yeye
 
Kwenye kutembea hapo nimecheka sana asante bro LIKUD

Umenikumbusha mbali kidogo , nimepata kitambi nikiwa chuo mwaka wa pili sasa utembeaji nikajikuta umebadilika kama vile nina kiriba tumbo .

Nikikutana na ndugu zangu wanasema nimeyapatia maisha kabla ya kazi mpaka mwendo umebadilika kumbe wasijue ongezeko la tumbo langu basi napata shida kutembea kama zamani .

[emoji3]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣

Mwenzako anatembea hivyo lakini hana kitambi
 
Kukali familia ya mke ndio kufanye udharauliwe inakuaje tena mbona kama watu mmezidiwa na roho mbaya yaani kujali familia ya mtu anayekupikia, kufulia, kukuzalia, kulea watoto na kukupa utamu ipi sababu ya kudharauliwa wakati inabidi apongezwe kwa kurudisha fadhila.
 
Yes I have more money than him kwa sababu pesa inaongea.

N.a. yeye mwenyewe ameshalijua hili mkuu ndio maana amesusa kuongea na Mimi tangu 2019.

Yeye pesa aliyokuwa nayo yote kajenga ukweni nyumba mbili moja nyumbani kwao na baba mkwe na nyingine nyumbani kwao na mama mkwe na nyingine kamjengea mke wake.

Sasa hivi amekuwa mlokole kutoka kwenye uislamu kafuata dini ya wakwe.

Kajiunga kwenye makanisa ya nitume na manabii( makanisa ya wacongo South Africa huko anaishi huko/ mliofika dizonga mnajua kwamba mitume na manabii wakicongo wenye makanisa SA wengi wao ni wachawi/waganga)

Wanampa story za Jacobo na Esau.

Wamemwambia kwamba eti Mimi na kaka angu ninae mfuatia tumechukua nyota yake.

Kaka angu ninae mfuatia alikataaga shule akiwa darasa la saba akaingia kwenye ufundi gereji ila ana nidhamu sana ya maisha na hela amejiweka vizuri . For more than 20 years alikuwa ana save sasa amefanya vitu vikubwa sana.


Mwanaume akishafikia hatua hii ya kuwa amini hawa mitume na manabii to extent of executing their orders basi jua amekuwa bogus kabisa.
"*Watu wanamchora wanamuona to bishoo kwa sababu some of us have more money than him.""

Sasa mtoa mada amejuaje ana hela kuliko kaka yake?

Kwani pesa ndiyo utajiri, au utajiri ni uwekezaji/mali?
 
Brother wewe ndio mchawi na hayo ni matokeo ya chuki dhidi yake unapata kile unachostaili kulingana na matendo yake kwake.
 
Aisee! Nimesikitika jinsi unavyomuonea wivu kaka ako, anatembea kawaida sema nyie wenye roho za korosho mnatafsiri ubishoo
Huyu jamaa atakuwa ana matunguli baada ya kufurahia kuwa katika familia ambayo wanajiweza anaanza kumdiss braza wake.. so kwa alichoandika ni wazi alitaka yeye ndio awe amefanikiwa katika family nzima ila aanze kudisrespect wakubwa zake
 
Acha utoto basi mkuu. Wewe unaweza kwenda kujenga nyumba kwa wakwe zako tena 2 moja kwao na baba mkwe nyingine kwao na mama mkwe? Halafu wazazi wako walio kulea unawapa elfu hamsini?

Najua unatania mkuu ila kama.una maanisha basi ni inna lilahi wa ina ilahyi rajuun
 
Wapo wanaofanya hivyo kweli ama ni porojo za vijiweni?
 
Wapo wanaofanya hivyo kweli ama ni porojo za vijiweni?
Kaka angu kafanya hivyo mkuu. My brother from the SAME FATHER mother.


1. Kajenga nyumba mbili ukweni kwao moja kwao mama mkwe nyingine kwao baba mkwe ( wazaa chema wake)


2. Nyingine ni nyumba yake mjini ambayo literally ni nyumba ya now wake..

Tembea uone ndugu yangu
 
Kwa hiyo brother kapigwa shuntama kwa kihaya kwa kiswahili fasaha limbwata[emoji23][emoji23].. kaa kwa kutulia ni wazi braza kaka ana hela kukuzidi kujenga nyumba mbili ukweni kunathibitisha hilo
 

maoni hatari!

mtu akichukia umasikini na akapambana nao ndani na nje ya nchi kumbe huko ni kujiona bora?

Sisi ambao hatujatoka kiuchumi tuendelee na vita zetu tuone inawaje!
 
Ninahisi unashindana na mtu ambaye hashindani. Halafu wewe ni ndugu lawama.

Huwezi kumpangia mtu namna ya kutumia mali yake. Tafuta zako mkuu ili uwe na amani.

Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…