Likizo na Pasi Zasitishwa JWTZ. Waliokuwa likizo waitwa warudi kambini

Likizo na Pasi Zasitishwa JWTZ. Waliokuwa likizo waitwa warudi kambini

Status
Not open for further replies.
zikitoka izo nafasi za kujitolea naomba niwe wakwanza kujiandikishaa.. Nimechoka kucheza game za mission kwenye ps3 yangu, nataka kiukweliukweli....
 
Sipendi vita: Ila linapokuja suala la Rais wa nchi yangu kukashifiwa na nchi jirani hujiona nimedharauliwa sana!! J.K nchi yote tuko nyuma yako: Ikiwezekana apigwe huyu "nduli" mtoto. Nafikiri ilikuwa ni makosa sana kuruhusu ajiunge na E.A.C!!
 
naomba kujua idadi ya wapiganaji wa jwtz kwa anaejua, rwanda nchi ndogo 2001 walikuwa na wanajeshi 100,000 , sisi wapo wangapi?
mdau anaefaham atujuze
 
Lakini twende mbele na kurudi nyuma.

Inflation rate sasa hivi sijui 15% tukienda vitani si itafika 30%

La muhimu hapa kuweka mipango ya muda mrefu ili tuweke rais wetu hapo Rwanda kama vile tulivyofanya Burundi na Condo.

Hizo taarifa za lini Inflation sasa hivi imeshafika kwenye single digit.
 
Niko tayari kufa kwa ajili ya Nchi yangu
Rwanda hawawezi kutunyima Usingizi

yaani umbea wa dhaifu utusababishie vita za kipuuzi..kama una hasira sana kwanini hujaanza na polisi waliolipua watanzania soweto arusha au wewe hasira ni baasa ya kutukanwa kikwete..
 
Nasikia mzuka wa ku volunteer haalafu wanipangie route ya PK ndo namtaka nimkamate dead or alive
 
Unaweza kuta hiyo Military Preparedess ni kwa ajili ya kwenda Mtwara kupiga wananchi...
 
Mwanajeshi gani kavujisha siri kamwambia Mwanakijiji mipango ya Jeshi letu.

Wanajeshi wanamna hii ni hatari kwa kutoa siri wanaweza hata kusaidiana na maadui zetu kutuhujumu.

Mkuu wa majeshi kuwa makini na vijana wako.

Hizi naamini ni propaganda za kijeshi mkuu.Kitendo cha Kagame kupeleka vikosi mpakani na kuweka tayari logistics zingine za kijeshi (kwa gharama kubwa),sisi hatuhitaji kupiga mkwara kwa kuingia gharama ya kupeleka vikosi mipakani zaidi ya propaganda kama hizi zisizo na gharama lakini zinatisha hasa kwa kanchi kama Rwanda kanaposikia Linchi kama hili limeanza ku mobilize jeshi!!!
 
Tukiingia vitani nitavaa kombati na kwenda mstari wa mbele, sio kwasababu napenda vita la hasha, sio kwasababu ninamuunga mkono Mr dhaifu hata kidogo, sio kwasababu ninawachukia wanyaranda hapana ila kwasababu naipenda Tanzania.

Moja Tayari tutakuwa na vita ngumu sana kwani Kagame amesha-mpbilize Kenya na Rwanda sijui Burundi wako upande gani, na ukweli tatizo sio kauli ya Jk kuhusu waasi, utakuwa ni mpango wa Muda mrefu wa maadui zetu.

Kwa sasa naomba kila Mtanzania tuwe wamoja, acheni siasa na acheni mzaha, vita inahusu nchi na haihusu mtu, wakiweza kutuchapa atakayeathirka ni sisi. Usalama wa Taifa jamii uanze mara moja, kila mgeni ambaye hujui katokea wapi mripoti mara moja kitua cha polisi, bila kujali ni Mkenya, Mganda, Mnyarwanda au Mrundi. Kagame atawaingiza kwa kutumia njia mbali mbali. Kipindi cha kupima uzalendo na uzawa ni wakati wa vita.

Wamesema mengi na wanafanya mengi. I hate this. Walituchezea mchanga 1977 tukaachwa mbaya, na sasa wanataka tena kutuchezea cheusi chekundu.

Mwisho busara na uwezo wote utumike kuepusha vita , iwe ni suluhisho la mwisho, ila tusisubiri kutiwa vidole vya macho. Tayari nimeanza kufua kombati zangu na buti. Haya kama inabidi tuanze mapema kuchangia chakula na maji ya wanajeshi wetu tuambiwe mapema, tujiandae vizuri. Hatuji aadui ni wangapi ila tunao wengi, hasa mabebru wanaotaka gesi na madini.

Mie nawashangaa sana nyie mnaohubiri vita hii ya kujitakia!Kama kweli hii vita itakuwapo basi mie naiita vita ya kipropaganda zaidi!Mmeshindwa kutimiza ahadi zenu sasa mnajaribu kutuingiza kwenye vita ili mpate kisingizio cha kutotimiza ahadi zenu!Tumepiga kelele mara kadhaa kwamba mkamate mafisadi mmekataa!
Tumeimba msinyang'anye ardhi kutoka kwa wazawa kuwapa wageni mmenyamaza!
Tumewaambia muwakamate wauza madawa ya kulevya mmegoma!
Tumetaka muwakamate walioua waandishi wa habari mmewapandisha vyeo!
Tumewataka muwakamate walioiba twiga wetu mmetushambulia!
Tumewata muwajibike kwa kuvunja katiba ya nchi kwa kusema 'wapigwe tu' mmetudharau!
LEO HII MNATUAMBIA TUWE WAZALENDO!!!!!?

UZALENDO MY **ASS**!!?

Kapiganeni ninyi,wake zenu,wanenu na hao WEZI wa mali zetu MNAOWALINDA!
 
zikitoka izo nafasi za kujitolea naomba niwe wakwanza kujiandikishaa.. Nimechoka kucheza game za mission kwenye ps3 yangu, nataka kiukweliukweli....

naona umeamua kuchekesha..nikuuluze ukuulize ulisha shuhudia mtu akiuwawa kwa risasi/bomu usinipe story za kwenye sinema..
 
kwa mchezo waliokuwa wanaufanya kule mtwara usikute wanatamani kwenda kubaka vimwana wa kwa KAGAME..

tena wazuri kweli, wamebaka wamakonde watawaacha kweli warembo wa Rwanda. Really beautiful
 
Mie nawashangaa sana nyie mnaohubiri vita hii ya kujitakia!Kama kweli hii vita itakuwapo basi mie naiita vita ya kipropaganda zaidi!Mmeshindwa kutimiza ahadi zenu sasa mnajaribu kutuingiza kwenye vita ili mpate kisingizio cha kutotimiza ahadi zenu!Tumepiga kelele mara kadhaa kwamba mkamate mafisadi mmekataa!
Tumeimba msinyang'anye ardhi kutoka kwa wazawa kuwapa wageni mmenyamaza!
Tumewaambia muwakamate wauza madawa ya kulevya mmegoma!
Tumetaka muwakamate walioua waandishi wa habari mmewapandisha vyeo!
Tumewataka muwakamate walioiba twiga wetu mmetushambulia!
Tumewata muwajibike kwa kuvunja katiba ya nchi kwa kusema 'wapigwe tu' mmetudharau!
LEO HII MNATUAMBIA TUWE WAZALENDO!!!!!?

UZALENDO MY **ASS**!!?

Kapiganeni ninyi,wake zenu,wanenu na hao WEZI wa mali zetu MNAOWALINDA!

mimi nimesha wasandia hawa wapumbavu, waende vitani na wabakaji wenzao..
 
Makosa mawili hayawezi kuhalalisha moja kua sahihi, ngoja kwanza tumuondoe fisi kwenye banda la kukuhalafu ndo trudi kuangalia jinsi kuku walivyotawanyika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom