Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Jamani!

Hiyo akili yangu nimeiumiza vipi?

Kutumia Uhuru wangu wa kutoa maoni yangu ndio kuumiza akili yangu?

Sijavunja sheria zozote za Nchi wala JF, tatizo ni nini?
Hata ukijiharishia hujavunja sheria ila tutakuambia hapa mtu mzima umejiharishia.

Wewe inataka kui police internet kama Mtalibani. Huo ni ujima.
 
Hivi kutoa maoni ndio kui police internet?! Since when?

Kama ambavyo wewe umetoa maoni yako na Mimi nimetoa yangu, shida iko wapi?

Ama unataka wote tufanane kifikra?! Sio rahisi kihivyo!
 
Maoni yako ni ya kuzuia watu wengine uhuru wao wa kutoa maoni yao mitandaoni.

Halafu inaonekana hata hujaelewa hilo bado, ndiyo maana unasisitiza kwamba wewe unatoa maoni na mimi natoa maoni tu.

Wewe unatoa maoni ya kuzuia watu wengine kutoa maoni yao mitandaoni.

Hayo si maoni tu.

Hiyo ni censorship.

Ila naona huna uwezo wa kuelewa hilo.
 
Muacheni binti wa watu kaona fursa anifanyia kazi na inaelekea itamfikisha mbali.
Kama hamjui hayo makelele yenu ndio yanam-push
matangazo ya biashara yana codes nyingi nimependa hizo lips za binti msomi mwenye namba yake naomba tafadhali

Una Hela au unataka umalizie mapene yako ya mawazo?
 
Acha kupondea kila kitu, kwani ukungwi ni kitu kipya? Acha mrembo atoe elimu maana hizi pisi zinajisahau sana hususa ni hapo kwenye upande wa kushika mic kutuma salamu
Naungana na wewe kabisa. Ukungwi upo, ulikuwepo na utaendelea kuwepo. Ukioa mke hajapitia kwa kungwi ni tatizo kwenye ndoa. Huyu amekuja na ukungwi wa kudijitali kajiongeza
 
Habari wadau.

Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.

Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

Amepata divisoon one form 4. Na amepata division one form 6.

Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.

Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Sometimes mtoto akishafika 18years,achana nae tu

Na pia tujifunze ku-mind our own businesses
 
Moja matokeo mabaya ya social media, bila haya majukwaa watu wangetafuta kazi, zimeshalisha wajinga wengi kwa jina la influencers, na content creators.
 
Maoni yako ni ya kuzuia watu wengine uhuru wao wa kutoa maoni yao mitandaoni.

Halafu inaonekana hata hujaelewa hilo bado, ndiyo maana unasisitiza kwamba wewe unatoa maoni na mimi natoa maoni tu.

Wewe unatoa maoni ya kuzuia watu wengine kutoa maoni yao mitandaoni.

Hayo si maoni tu.

Hiyo ni censorship.

Ila naona huna uwezo wa kuelewa hilo.
Kiranga wewe kweli Una kiranga!

Wapi nimemzuia zaidi ya kusema sio Sawa kutoa elimu ya jinsi ya kufanya ngono (kunyonya uchi) hadharani (maana mtandaoni sio chumbani)?

Na kwa mila + desturi na tamaduni zetu hapa Tanganyika, hayo mambo ni taboo, sasa wapi nimemzuia?!

Kama ambavyo yeye anatoa elimu yake kuhusu namna ya kunyonya uchi wa mwanaume na Mimi natoa fikra zangu kwamba anachofanya sio sahihi.
 
Mkuu Coach Slamah Hamad
 
Elimu hiyo kama wewe huitaki, achana nayo.

Mitandao ina mamilioni ya websites zenye mambo hayo.

Utazifuatilia ngapi?

Umemshitaki serikalini afungiwe au unapiga gumzo hapa JF tu?
 
Habari wadau.

Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.

Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

Amepata divisoon one form 4. Na amepata division one form 6.

Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.

Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Namuunga mkono Lilian Lema kwa sababu, mahusiano mengi ya ndoa yanayumba kwa sababu ya wanandoa kushindwa kunyanduana inavyopaswa...

Unamsogelea mwenza wako mpate tunda unakuta ananukia shombo la samaki unadhani nitaacha kwenda kwa Asha wa Magomeni kweli?

Binti anafanya kile ambacho jamii ilipaswa kukienze kupitia mapokeo na hakika tusingekuwa na marriage brutalities...
 
Back
Top Bottom