Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Sema vijana wa sasa hivi tuna mambo yetu ambayo tukiamua kufanya hatutaki ushauri,hata kama wazazi hawataki au hawapendi tunachokifanya tutawalazimisha wapende au wakubaliane na tunachokifanya.
 
Habari wadau.

Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.

Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6.

Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.

Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Kahaba
 
Naomba namba yake bas
 
Huenda hiyo kazi inamlipa kuliko kuwa Engineer wa mkoa
Ni fursa kubwa sahvi,ukiwekeza kwenye ujinga ujinga,zungumzia pia mambo ya ktmbn kfln kuongeza dude na makalio
Utapiga hela sjui sahv ndy wanawaitq mainfluencer

Ova
 
Mzazi unaweza kupambana mtoto apate Div. One na kusahau mambo mengine. Maisha sio division one peke yake. Kuna yula Frank Maston naye kasoma UDSM ila kwa sasa yupo USA na ni shoga ambaye hajifichi kiasi kwamba huvaa kabisa mavazi ya kike.
 
Frank maston sio shoga, alizaliwa na jinsia mbili wazazi wakachagua kumkuza kama wa kiume
Baada ya kukua mtu kavunja ungo, matiti plus hormones x zimekua nyingi kuliko y

Yeye ni mwanamke
 
Mbona kama vile hakuna tatizo hapo? Alichofanya ni kuangalia nikuchagua ukungwi kama fursa na kuifanya ndio ajira yake as long as anafurahia anachokifanya na hakishushi utu wake ni sawa tu.
Jambo la muhimu hapo ni athari za mahudhuhi yake zikifakia watu ambao sio walengwa bas
 
Ukitaka uishi kwa furaha kitu kimoja wapo ni kufanya kazi(ajiriwa/jiajiri) kwenye kitu unachokipenda ili mladi hakipunguzi thamani ya utu wako
 
Frank maston sio shoga, alizaliwa na jinsia mbili wazazi wakachagua kumkuza kama wa kiume
Baada ya kukua mtu kavunja ungo, matiti plus hormones x zimekua nyingi kuliko y

Yeye ni mwanamke
Wewe unamjua vizuri?
 
Back
Top Bottom