FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Umeshampigia pasi shemeji yako?🤓🤓🤓,
Aaah acha zako,kampeti mumeo huko.....bado muda wako wa kuwa hapa🤓🤓🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshampigia pasi shemeji yako?🤓🤓🤓,
Aaah acha zako,kampeti mumeo huko.....bado muda wako wa kuwa hapa🤓🤓🤓
Kama ndivyo,Kwa ufupi tu
Nina Masters ya Sheria- Westminster University
Sikutegemea kama umejaa ujinga kichwani namna hii Africa yangu ina safari ndefu sana.Jana eti wanasema sasa wataongelea katiba mpya! Wameona la bandari limebuma.
Unatumika tu huna lolote.Niko vizuri kuliko udhaniavyo.
Karibu sana
Jifunze kusikiliza na kuelewa hata vile usivyopenda kusikia. Hiyo ndo maturitySamia ajifunze Kiingereza kwanza asisaini kumpa Mbarawa full powers za kusaini kwa niaba ya Tanzania na Dubai, kwenye hoja hajafika bado.
Ajifunze Kiingereza kabla ya kufika kwenye hoja.
Mwenyewe kajijua mtupu, ndiyo maana kagwaya kujibu.
HhhhhhhhhhKwa maarifa tu. Ninayo kwa kiwango kikubwa sana
Mtu anasimama kabisa na kusema, kuna upigaji ilhali, akijua wateuliwa wote ni PRO CCM. kama kuna upigaji hao TISS, TAKUKURU na vyombo kibao wanashindwaje kuchukua hatua?Umesema kuna "watu walikuwa wananufaika na upigaji bandarini" Na, hao ndio hawataki kuona mwekezaji, anakuja, sasa swali langu kwako mkuu,
Hao, wapigaji, mbona hawakamatwi kama, wapo? Vyombo vyote vya uchunguzi kama police, takukuru, jwtz intelligence, TISS, vinaripoti kwa "mama" Na, vinaongozwa na makada wa ccm, sasa mbona havijawakamata hao "wapigaji"?
Kama wapigaji wapo, lakini mama na ccm yake wameshindwa kuwakamata, tukisema mama nchi imemshinda si tutakuwa sawa?
Viongozi waandamizi, wote wa TPA, ni makada wa, ccm na wanateuliwa na mama! Kama ni majizi basi ccm ndio majizi, yanayopiga bandarini,
Kwa jinsi unavyoelezea upigaji wa bandarini utafikiri bandari inaongozwa na chadema na mkurugenzi wake kateuliwa na Mbowe!
Kama kuna upigaji serikalini, unafanywa na ccm na wateuliwa na ccm! Bunge lote ni ccm, RC, DC, DASA, RAS, wote wameteuliwa na ccm! Idara zote nyeti zinaongozwa na wateuliwa wa, mama! Sasa kama ameteua majizi, tena raia bila kujua, ataweza, kweli kuwajua hao wawekezaji raia wa kigeni!?
Ccm choka mbaya, kwa, miaka 60,bandari inawashinda kuendesha.
Kilichpo bandarini, wapigaji wengi ni watumishi wa TPA, na makada wa ccm ngazi za kati, sasa hv, majizi, ya nchi hii, kikwete na samia, kinana, yameona fulsa,yakate mirija ya hawa juniors majizi, ili yaibe yenyewe.
Unamsujudia papa?Sikutegemea kama umejaa ujinga kichwani namna hii Africa yangu ina safari ndefu sana.
Huwa Kuna wakati napiga magoti na kusujudu Naomba Mungu walau atupe Afya ya akili kiukweli inasikitisha sana kuona NCHI yetu ina wajinga wengi kupita kiasi na wewe ni mmojawapo.
Pole sana Mungu akujalie Afya ya akili
Wewe ni mpuuziWataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Kivipi?Unatumika tu huna lolote.
Anawaita "wazalendo " wanaomkabidhi muwekezaji, bandari yetu "milele "!sipendagi kutukuna watu ila wewe unastahili (mleta Uzi). Mungu anisamehe.
Wewe kama siyo Mwashambwa, lakini kwa uhakika mnashabihiana sana katika uwezo wenu, unafiki, uchawa, na uandishi wa riwaya zisizo na hoja.Nakuhakikishia mimi siye huyo mtu na wala sijawahi kuwa mtu.
Kwanini ile Flight ONE ilikuwa ina trip za kimyakimya UAE?Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Mimi si mtu wa mapokeo ya Dini Wala hakuna nilipoandika kuhusu Papa Wala upapa haunihusu, Mimi ni Mtanzania Mwafrika Ninatamani kuona Tanzania na Africa zikisonga mbele.Unamsujudia papa?
Mjinga ni mjinga hata akizeeka bado ujinga haumtoki.Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Hakuna mwenye akili timamu bila maslahi na ujinga kwenye kichwa chake anaweza kusifia huu mkatabaKivipi?
Hayo magoti yako uliyosema unapiga unampigia nani?Mimi si mtu wa mapokeo ya Dini Wala hakuna nilipoandika kuhusu Papa Wala upapa haunihusu, Mimi ni Mtanzania Mwafrika Ninatamani kuona Tanzania na Africa zikisonga mbele.
Issue ya Bandari ni zaidi ya utapeli tuipende NCHI yetu tusiwe watumwa wa wanasiasa Wezi.
Shemeji yangu si wewe,afu ujamwandalia chai kaka angu🤓🤓🤓🤓, acha zako sisi tumelipa Mahari bhna,kabebishe hukoUmeshampigia pasi shemeji yako?
Umeshampigia pasi shemeji yako?