Linasubiriwa tukio lolote litokee nchini Iran ili liunganishwe na shambulizi la Israel

Wewe una ilimu ya darasa la ngapi......
Myahood ameshafanya mission nying hapo middle EAST hapo nilikuwa natoa mfano tuuu
 
Isreli wamepata aibu mara mbili ..kuwekwa uchi na pia kupigww ka military bases kwa fedheha
 
Uzi wa KINOKO hauna lolote
Kama kawaida yako myahudi wa kihehe, eti na wewe unapanga foleni kusubiri mungu wa familia ya yakobo na waisrael aje akuokoe mnyalukolo wa Iringa ambae hajakutaja hata katika kitabu chake cha biblia akupeleke mbinguni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Afrika imejaza wapumbavu wengi wasioweza kuutambua mchana au usiku na mmoja wao ni wewe.
 

Attachments

  • FB_IMG_17118944407352949.jpg
    55.7 KB · Views: 2
Isreli wamepata aibu mara mbili ..kuwekwa uchi na pia kupigww ka military bases kwa fedheha
Netanyahu angekuwa mtu mwenye akili timamu angejiuzulu kwa sababu ya kuisababishia Israel aibu kwa ujinga wake.
 
SAsa mudy ana msaada gani anayesema kuwa hata yeye hajui hatima yake๐Ÿคฃ
Hakuna dini ya kiduwanzi kama ya mudy eti mkifa mkiipigania imani mnaenda kupewa mabikra 72 wenye macho makubwa kama kikombe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wazinzi mnawaza uzinzi nyie.

Acheni muwahishwe na mayahudi muwahi hao mabikra wenu kama sio majini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Uliza kipindi Israel aliposhambulia vinu vya nuclear aliomba ardhi au anga ama alienda mwenyewe moja kwa moja
 
Cha msingi afanikiwe kuficha isijulikane kama ni yeye kashambulia je hilo ni jepesi kuficha? Vinginevyo hakutakuwa na taifa hilo la Israel akijaribu upuuzi wowote wa mass casuality people are watching then
 
Cha msingi afanikiwe kuficha isijulikane kama ni yeye kashambulia je hilo ni jepesi kuficha? Vinginevyo hakutakuwa na taifa hilo la Israel akijaribu upuuzi wowote wa mass casuality people are watching then
Mbona israel kafanya matukio mengi middle EAST na hata hapo TEHRAN amepiga mission nying tena accomplished na hata hawajathibitisha kuwa ni yeye 100% ilahukimbilia kusema ni accident kumbe ni planned mission
 
Uliza kipindi Israel aliposhambulia vinu vya nuclear aliomba ardhi au anga ama alienda mwenyewe moja kwa moja
Mbona unaandika vitu visivyoeleweka. Hebu soma vizuri ulichoandika kama kinaendana na kile ulichoki quote kule juu. Na pia uweke na ushahidi hivyo vinu vilivyoshambuliwa hapa hapa tuone.
Sio utuletee maneno ya kwenye khanga au zile habari za radi kupiga juu halaf nyie mseme shambulio la Israel. Kinu cha nyuklia kikishambuliwa usifikiri dunia itakosa kusikia au kuona mshindo wa nguvu. Sio uchukulie kinu cha nyuklia kama vile kisima cha maji ya kijijini kwenu Sumbawanga.
 
Cha msingi afanikiwe kuficha isijulikane kama ni yeye kashambulia je hilo ni jepesi kuficha? Vinginevyo hakutakuwa na taifa hilo la Israel akijaribu upuuzi wowote wa mass casuality people are watching then
Na wenyewe hawawezi kufanya ushenzi huo. Wanamjua vizuri Ayatullah, hana masihara na mtu na wala hacheki na kima shambani.
 
Mbona israel kafanya matukio mengi middle EAST na hata hapo TEHRAN amepiga mission nying tena accomplished na hata hawajathibitisha kuwa ni yeye 100% ilahukimbilia kusema ni accident kumbe ni planned mission
Wewe unasema Israel tu, mbona hushangai jinsi Hamas ambayo haina intelejensia yoyote waliingia Israel wakauwa wanajeshi na maelfu ya raia. Halaf kama hilo halitoshi wakakusanya mamia ya wayahudi na wazungu wakatoka nao kutoka Israel hadi Gaza bila kukamatwa na MOSAD, Polisi wala jeshi.

Sasa kama kikundi cha watu kinaweza kuingia katika nchi ambayo mnaisifu kwa intelejensia kubwa, kikaanza kuua mtu wa kwanza, wa pili, wa tatu hadi kufikisha wa elfu na kitu including wanajeshi wakiwa ndani bila kushtukiwa.

Kisha baadae wakaanza kukusanya wengine (mateka) zaidi ya 200 na kutoka nao Israel hadi Gaza bila kukamatwa na askari wala mgambo. Sasa si inaonesha fika kuwa nchi yote ipo uchi. Haina ulinzi unaoeleweka, kiasi kwamba Iran ikimtaka Netanyahu ni sekunde tu wanamtia mkononi.

Kitendo cha kundi la watu kuingia nchini na kuteka watu hata hapa Tanzania wangekuwa washakamatwa lakini kwa vile Israel ni dhaifu basi watu walikamilisha mission mchana kweupe.
 
Unapambana na mtu asiyejua tofouti kati ya cyber attack na military attack
 
Israel ni dhaifu hata mimi naona vilio vya raia kule GAZA WEST BANK na BEIRUT nivilio vidogo sana sijui ISRAEL isio dhaifu ambayo ni IMARA tungesikia nini huko GAZA, WEST BANK na BEIRUT.......

HIII SIO GENOCIDE kwa sababu inafanywa na mtu dhaifu sana. Lets wait ISLAER ambayo ni more powerful itauwa wangapi
 
Unapambana na mtu asiyejua tofouti kati ya cyber attack na military attack
Nashukuru mkuu kwa kunikumbusha kuachana na huyu mbumbumbu asiejua akiandikacho.
 
Sidhani kama akili yako iko sawa.
1. Israel ni nchi yenye jeshi kamili, ambayo ina wanajeshi zaidi ya milioni moja, hapo bado polisi, usalama, magereza nk. Huku Hizbullah, Hamas na hata wale vijana wa West Bank sio nchi bali ni vikundi vya vijana tu wasiofika hata laki 1. So inashangaza Israel kutumia malaki ya wanajeshi wake kupambana na vijana wasiofika hata laki 1.
2. Israel inapewa msaada wa silaha, fedha na matibabu kutoka Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uholanzi na Italy. Lakini hayo makundi yanapata msaada kutoka Iran tu peke yake. Hivyo unaweza kuangalia nchi ambayo inapata silaha kutoka katika nchi zaidi ya 6 kubwa duniani, inatumia nguvu kubwa kupigana na vikundi vya vijana wanaopata msaada wa silaha kutoka katika nchi moja tu.

Hapo ni sawa sawa na kulisifu jeshi linalotumia misilaha ya kivita kupambana na panya road. Ndomaana wengi tunataka Israel itumie nguvu hizo kupigana na Iran ambayo ni nchi mwenzake, yenye jeshi lake na silaha zake. Sio kuonea vidagaa Hamas vinavyotegemea silaha kutoka Iran.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Hao ndio wayahudi halisi, wewe hao unaowajua wako wapi.
Wamewaua kama waingereza walivyowaua wale wazawa halisi wa Australia na New Zealand, kama walivyowaua red indians wa Marekani na Canada na kuacha makapi kapi.

Hata South Africa ilikuwa wafanye hivyo hivyo, bahati nzuri waafrika wakiongozwa na baba wa taifa mwl J. Nyerere wakasimama kidete kuhakikisha hilo halitokei. Ndio maana swala la kupima DNA pale Israel limekatazwa baada ya kugundua kuwa 80% ya waliopo pale ni wazungu kutoka UK, Ufaransa, Ujerumani, Poland (Netanyahu) Uturuki, Ugiriki nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ