Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?


Tazama, saa yaja ambayo waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika roho na kweli. Lakini pia Mungu haishi kwenye majumba yaliyojengwa na wanadamu.
 
Hakuna kituko kwenye maziko, hizo standards mmeziweka wenyewe kwa misingi ya dini na vyama vyenu vya kufa na kuzikana, swali langu ni moja tu kama ifuatavyo, marehemu ananufaika na nini akizikwa hivyo unavyosema?

Hiyo heshima ina maana kwenu mlio hai ila sio kwa aliekufa kwa sababu hatambui chochote kinachoendelea.
 
Hakuna lolote, hata ukizikwa na wahuni haibadilishi chochote.

Cha msingi ni mzoga kufukiwa.

Cc: Extrovert
Kweli kabisa wanataka kusema wahadzabe na wapori pori wengine wasiozikwa na dini hawana umuhimu/thamani?

Ukishakataa ugali jambo la msingi ni kurudishwa mavumbini tu hayo mengine ni mbwembwe.
 
Kweli kabisa wanataka kusema wahadzabe na wapori pori wengine wasiozikwa na dini hawana umuhimu/thamani?

Ukishakataa ugali jambo la msingi ni kurudishwa mavumbini tu hayo mengine ni mbwembwe.
Tena ni ujinga wa kutisha kuna watu now wananitishia habari ya kuzikwa huwa nawacheka sna
 
Muwa mnajitahidi kuficha tupu zenu mbele za watu.
 
ukizikwa vibaya mzimu wako utasumbua ndugu zako ukidai hukuzikwa kwa heshima unayostahili
 
Jana tuu.. Mimi imani yangu haiendeshwi na mijadala na mikanganyiko ya wengine.. Najua kwa hakika kwanini niliamua kuifuata
Uko sahihi kabisa. Naungana nawe kwa jibu lako. Hata mimi jana nilikuwa kanisani; si kwa sababu nafikiria nani pia amekwenda kanisani, au nitaonekanaje mbele ya macho ya walimwengu kwenda kanisani.
 
nyie msioenda kanisani mnapokufa mnazipa utata familia zenu ziwafanyie mazishi ya namna gani. Itabida mzikwe kimya kimya tu bila ibada ya dini
Sio kila Kifo lazima uzikwe,,Unaweza teketea Kwa Moto,,, Kwenye maji na maiti isionekane,,kutafunwa na wanyama wakali nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…