Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Swali. Bibilia kwanini mgumu kuihifadhi?
Hakuna hitaji linalotaka tukariri. Yesu alijua kuandika na kusoma na hivyo hivyo kwa mitume na manabii wote wa kwenye biblia. Kwa hiyo kwa nini wakariri wakati ujumbe waliotaka kuufikisha waliweza kuandika?

Kuna mtume tunaambia hakujua kusoma wala kuandika. Hii ni changamoto kwake. Njia pekee ya kusambaza mawazo yake ilikuwa kukariri na kuhadithia. Mtume huyu hayupo kwenye biblia. Mtume huyu ni pekee mwenye sifa ya kutokujua kusoma na kuandika. Yaani hata Budha, Mizra Gulam, Zoroaster walijua kusoma na kuandika isipokuwa huyo mmoja tu😅
 
Naomba niwepo kweny hio debate
 
Faida ya kuhifadhi tunaijua sisi waislam, waliosilimu kutoka kwenye dini nyegine wakifika katika uislam hutaka kulia, wanasema wamepoteza muda wao bure huko walipotoka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hana cha kujibu, unapoteza muda, wenzako tunamjua tulishampuuza siku nyingi sana
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Kusoma Bibilia! Unataka kuleta taflani we, bibilia si anasoma anaendesha Ibada pale mbele si inatosha!
 
Muhammad was a self appointed prophet of God. Apart from Muhammad's claim, there is no evidence whatsoever to support his prophethood.

Muhammad impersonated God by fabricating revelations and then attributing them to God. These so-called revelations have permanently brainwashed and intellectually retarded the Muslims. It is no wonder Muslims are so backward.
 
Sunday school hakuna viboko kukaririsha watoto kwa lazima. Imani ni kuielewa na kuipenda na sio kuogopeshwa kwa vifo vya kikatili
 
Mleta mada umekuwa serious sana na kiumbe ambacho hutakiwi kukichukulia serious, hao sampuli ya Malaria 2 wako wengine kina faiza foxy big show Ritz kahtaan so ukiwaona hao ujue tu umewaona wafia dini, ila upeo wao sio wa kuwachukulia serious.
Umemsahau Jagina

Huyu mada itasema hivi yeye atasema vile alimradi anajikurupusha kama Ngiri pori
 
Duh,
Alikuwa anashiba nini baada ya kunyonya ulimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…