Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Okay sawa, sikujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay sawa, sikujua
Hakuna hitaji linalotaka tukariri. Yesu alijua kuandika na kusoma na hivyo hivyo kwa mitume na manabii wote wa kwenye biblia. Kwa hiyo kwa nini wakariri wakati ujumbe waliotaka kuufikisha waliweza kuandika?Swali. Bibilia kwanini mgumu kuihifadhi?
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo sio Mungu wa "Premier League"Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?
Au ni vigumu kuihifidhali?
Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.
Hichi kitabu kinahifadhika?
Naomba niwepo kweny hio debateKuna jamaa mmoja hapa jukwaan hujiita Malaria 2 ni jamaa ambaye anapenda kuanzisha thread za dini, na mara nyingi zikiwa za uchokozi, lengo kuu ni kuusifia uislamu(kitu ambacho sina shida nacho kabisa kwasababu kila mtu ana haki ya kusifia dini yake) na sometimes kuupondea ukristo(again, sina shida na yeye kuupondea ukristo kwasababu we're different individuals, tofauti za kifikra ni jambo la kawaida).
It's okay to have different opinions, but can you back them up?
But leo nime-interact nae kweny uzi aliyoanzisha Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?
View attachment 3083675
View attachment 3083676
View attachment 3083677
I don't mind debates, a debate started one of the biggest country known as United States of America.
I love it when people start arguing about what is objectively True, that's when misunderstood topics and real lies emerges and are cleared, once and for all.
Broo Malaria 2 acha majibu ya kijinga, kwa jinsi ulivokuwa mstari wa mbele kuanzisha thread kama hizi za kichokozi nilidhani utakuwa mstari wa mbele kukubali, na hii itakuwa inafaida kwako kwasababu huwez jua maybe utanishinda na watu wakiona maybe utapata wafuasi watakabadili dini na mm nikiwemo, hutaki hio bahati??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Faida ya kuhifadhi tunaijua sisi waislam, waliosilimu kutoka kwenye dini nyegine wakifika katika uislam hutaka kulia, wanasema wamepoteza muda wao bure huko walipotoka
Hana cha kujibu, unapoteza muda, wenzako tunamjua tulishampuuza siku nyingi sanaKuna jamaa mmoja hapa jukwaan hujiita Malaria 2 ni jamaa ambaye anapenda kuanzisha thread za dini, na mara nyingi zikiwa za uchokozi, lengo kuu ni kuusifia uislamu(kitu ambacho sina shida nacho kabisa kwasababu kila mtu ana haki ya kusifia dini yake) na sometimes kuupondea ukristo(again, sina shida na yeye kuupondea ukristo kwasababu we're different individuals, tofauti za kifikra ni jambo la kawaida).
It's okay to have different opinions, but can you back them up?
But leo nime-interact nae kweny uzi aliyoanzisha Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?
View attachment 3083675
View attachment 3083676
View attachment 3083677
I don't mind debates, a debate started one of the biggest country known as United States of America.
I love it when people start arguing about what is objectively True, that's when misunderstood topics and real lies emerges and are cleared, once and for all.
Broo Malaria 2 acha majibu ya kijinga, kwa jinsi ulivokuwa mstari wa mbele kuanzisha thread kama hizi za kichokozi nilidhani utakuwa mstari wa mbele kukubali, na hii itakuwa inafaida kwako kwasababu huwez jua maybe utanishinda na watu wakiona maybe utapata wafuasi watakabadili dini na mm nikiwemo, hutaki hio bahati??
Ulitakaa kusema nini hapa?sasa umeandika kitu gani? una kazi ya kufanya?
Nimezingua wapi??UNAZINGUA View attachment 3083699
Kwa hiyo unakiri wewe ni mjinga?Humu mnawajinga wengi kwa hivyo tumekutana wajinga
Ningelijua hilo, nisingeanzisha huu uziUlitakaa kusema nini hapa?
Mleta mada usipoteze muda wako huyu jamaa toka hapo Mashariki Ya Kati pachafuke hayupo sawa upstairs,huyu tunamjua humu humkuti akimtetea mweusi mwenzake kila kitu ni mwarabu kwake.
Kusoma Bibilia! Unataka kuleta taflani we, bibilia si anasoma anaendesha Ibada pale mbele si inatosha!Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?
Au ni vigumu kuihifidhali?
Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.
Hichi kitabu kinahifadhika?
Muhammad was a self appointed prophet of God. Apart from Muhammad's claim, there is no evidence whatsoever to support his prophethood.Kuna mtume tunaambia hakujua kusoma wala kuandika. Hii ni changamoto kwake. Njia pekee ya kusambaza mawazo yake ilikuwa kukariri na kuhadithia. Mtume huyu hayupo kwenye biblia. Mtume huyu ni pekee mwenye sifa ya kutokujua kusoma na kuandika. Yaani hata Budha, Mizra Gulam, Zoroaster walijua kusoma na kuandika isipokuwa huyo mmoja tu
Yes, I'm a medical doctor, but I can make time for you
Kuisoma na kuikariri.Hivi yale ni mashindano ya kusoma kuruani au kukariri kuruani?
Duh,Mfahamu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS ambaye hakunyonyeshwa na mama yake Fatima kwasababu babu yake Mtume Muhammad alikataa Pindi tu alipozaliwa akamtwaa na kumnyonyesha kwa ulimi wake .
Imam Hussein kwa muda wa miaka miwili hakunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa mtume. Ndio maana kipenzi chetu cha dhati anatukuzwa.