Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Salam.
Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi!
Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni vingi mara majengo,vibwengo, madaraja,magari n.k ni wazi kuwa anapuyanga na kuharibu hii tasnia. Au labda hapo awali alikuwa ni designer wa kuprint logo za fulana "manga" zile za buku ten sasa kaona alete ushamba wake katika ubunifu wa jezi.
GSM mlipieni nauli huyu mbunifu wenu aende ulaya na America akakutane na wabunifu wakubwa wa jezi za klabu kubwa wamueleweshe jinsi jezi zinavyobuniwa kila msimu na jinsi gani zilivyo simpo.
Leo hii jezi ya Yanga haina tofauti na vitenge au batiki za kina mama.
Aibu .