Lini Sheria Ngowi utaacha kuchora vikatuni na makorokoro katika jezi za Yanga? Jezi za Yanga ni mbaya balaa.

Lini Sheria Ngowi utaacha kuchora vikatuni na makorokoro katika jezi za Yanga? Jezi za Yanga ni mbaya balaa.

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Salam.

Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi!

Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni vingi mara majengo,vibwengo, madaraja,magari n.k ni wazi kuwa anapuyanga na kuharibu hii tasnia. Au labda hapo awali alikuwa ni designer wa kuprint logo za fulana "manga" zile za buku ten sasa kaona alete ushamba wake katika ubunifu wa jezi.

GSM mlipieni nauli huyu mbunifu wenu aende ulaya na America akakutane na wabunifu wakubwa wa jezi za klabu kubwa wamueleweshe jinsi jezi zinavyobuniwa kila msimu na jinsi gani zilivyo simpo.

Leo hii jezi ya Yanga haina tofauti na vitenge au batiki za kina mama.

Aibu .
 
IMG-20240728-WA0002.jpg
 
Salam.

Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebusha katika siku za usoni ila wapi!

Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni vingi mara majengo,vibwengo, madaraja,magari n.k ni wazi kuwa anapuyanga na kuharibu hii tasnia. Au labda hapo alikuwa ni designer wa kuprint logo za fulana "manga" zile za buku ten sasa kaona alete ushamba wake katika ubunifu wa jezi.

GSM mlipieni huyu mbunifu wenu aende ulaya na America akakutane na wabunifu wakubwa wa jezi za klabu kubwa wamueleweshe jinsi jezi zinavyobuniwa kila msimu na jinsi gani zilivyo simpo.

Leo hii jezi ya Yanga haina tofauti na vitenge au batiki za kina mama.

Aibu .
Nia yako iwe droo. Hebu design yako hapa tuone.
 
Aangalie jezi za timu kubwa zipo vipi:
1. Real Madrid
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Simba
5. Bayern Munich
6. Al Ahly
7. Al Nasri
8. Mamelodi
Apewe elimu kwamba home kit haitakiwi kutiwa mbwembwe nyingi. Hizo vurugu zinafanywa kwenye jezi ya ugenini. Mara ya kwanza nilidhan ni away kit kumbe ni home kit nilishangaa
 
Aangalie jezi za timu kubwa zipo vipi:
1. Real Madrid
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Simba
5. Bayern Munich
6. Al Ahly
7. Al Nasri
8. Mamelodi
Apewe elimu kwamba home kit haitakiwi kutiwa mbwembwe nyingi. Hizo vurugu zinafanywa kwenye jezi ya ugenini. Mara ya kwanza nilidhan ni away kit kumbe ni home kit nilishangaa
Vp msimu huu hajachora treni ya SGR na bwawa la nyerere kwenye jezi?
 
Sisi wenye timu yetu haitupi shida..mikia united ndo mnaumia...why?
Mimi ni mdau wa michezo na mfanyabiashara wa maduka ya vifaa vya michezo ila kwa hili siwezi kuweka mzigo wao madukani mwangu.

Mimi nimefikisha malalamiko niliyoyapata usiku wa jana kutoka kwa wateja wangu ambao wengi ni mashabiki wa Yanga
 
Back
Top Bottom