Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
2,737
Reaction score
5,464
SALAM MKUU.

Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565 ARVINDER HAZARA CHANNA.

Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipokea pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo 0712**5408 Jina lilikuja ni Farida Hilary.

Nimetoa taarifa katika Mitandao yote Tigo na Vodacom lakini majibu ni usumbufu. Kwahiyo mkuu kiubinadamu naomba hiyo pesa shilingi LAKI MOJA NA ELFU ISHIRINI (120000).
 
SALAM MKUU.

Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565
ARVINDER HAZARA CHANNA.

Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipoke pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo 0712**5408 Jina lilikuja ni Farida Hilary.

Nimetoa taarifa katika Mitandao yote Tigo na Vodacom lakini majibu ni usumbufu.Kwahiyo mkuu kiubinadamu naomba hiyo pesa shilingi LAKI MOJA NA ELFU ISHIRINI (120000).
Unakuta huyo Arvinder ndio Mzee wa kupambania , unadhani hiyo hela itarudi?

Kausha tu mkuu.
 
Anadai 120,000 ila polisi watataka laki Moja ili wakamkamate, wakishamkamata watataka mtuhumiwa awapoze ili atoke na iandikwe kuwa ni kesi ya madai......
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom