Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Katika vitu nilivyo jifunza kwenye maisha mpka sasa ni kutokumnyima mtu msosi ama kuumia juu ya msosi ikiwa nimeshawah lishwa na mtu freely bila kuchangia hata mia basi sintokuja ninyime mtu chakula aseehHuyo mtu Mungu atamuadhibu sana
Chakula? Dah
Mi pia mkuu,wanangu wawili wa kiume ntawapa banda langu moja waanzie maisha, mi mshua wangu alikuwa hitra kabisa,alitufukuza home tukiwa na twenty years tuKwa maisha magumu na heka heka za kutokua na kazi maalum niliopitia baada ya kufukuzwa ,na Mzee kwangu nitakua tofauti sana, mwanangu wa kiume akae tu home hata akipata na vitukuu hapa sawa
Maisha ya kujitegemea bila kua na msaada au support yeyote kwa ndg mabaya sana unaweza kujikuta kibaka bila kupenda
Napenda sana mfumo wanaoutumia baadhi ya kabila kama wairaq kwao mtoto wa kiume akifikisha umri wa kuoa anakatiwa ngombe za kutosha then anaenda kujitafuta
Mpe basic za kumsaidia kuanza maisha km unacho otherwise angalia asijeenda uza madawa ya kulevya au wale wasioonekanaKwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze kujitegemea na s'tyms haya yanafanyika bila hata kujali kama mhusika ana ajira au la.
Wengi wanadai kumwondoa kijana kunaichangamsha akili yake kumfanya kijana ajitambue zaidi aache kujibweteka aongeze juhudi za kupambania maisha n.k.
Hii ni tofauti kwa jamii zingine hasa za kimwambao. Wao kijana hakui kwa mzazi. Mandhari mzazi yu hai basi mtoto atabaki kuwa mtoto tu, maisha yake yote. Huko kijana anaweza kuishi na wazazi hadi akapata wajukuu na pengine hata kuzeekea na hata kufia akiwa
hapohapo kwa wazazi.
Haya mambo wakuu yamekaaje?
Je, ungependa kumwona kijana wako katika taswira ipi kati ya izo mbili hapo juu?
Trueshida NI UMASIKINI NDO MAANA TUNATIMUANA
nimecheka sana😆😆😆Mimi hapa ni kwetu sitoki kila mtu aende kwao
Si ndio mkuunimecheka sana😆😆😆
😆😆Inategemea aisee. kuna mzee alikuwa na vijana kibao hapo kwake sasa wakawa hawaelewani basi hapo home ikawa mambo vululuvululu. madogo walikuwa na varangati muda wowote kinawaka. kila wakati nyumba ya moto. mzee akaona hawa wanantania akawafukuza wote.Kwamba mnajenga nyumba kubwa kwa tabu alafu baadae mnafukuza vijana? Hii hapana wakuu
ndomaana wahindi wanawafundisha mapema watoto wao toka wakiwa wadogo. watoto wakishakuwa wakubwa wanajua michongo yote ya wazazi wao na wao ndo wanakuwa waendeshaji wakuu wapya wa miradi ya familia.Ni aibu unakuta mtoto ana mandevu kama osama lakini bado anakula ugali kwa baba yake