Lipi ni sawa, kumfukuza kijana wako hapo kwako ili akaanze maisha yake au kumwacha azeekee hapo kwako?

Aki Akili za kimaskini na kishenzi za ngedere weusi wanaoishi Afrika , waarabu ,wahindi na wengine wa Asia huko wangekuwa na akili kama hizi za kipuuzi wangekuwa hohehae kama majitu ya nchi za Waafrika weusi
 
Ni kukwepa kuwajibika ,wewe unazaa mtoto ila unakwepa majukumu yako ya kuandaa future yake ,
Shenzi kabisa ,na ningekuwa rais naeeka sheria kabisa ,kila anayetaka ni lazima atoe urithi wa mali na vitega uchumi kwa mtoto wake ambaye amefikia umri wa kujitegemea ,full support toka kwa huyo mzazi inakuwa lazima na si ombi .
Pumbavu sana
 
Wakileta fujo watimuliwe, naunga mkono maana wanakua wanawapanda wazazi kichwani
 
Mnazaa watoto kama panya hamuwapi malezi na matunzo bora na support za kiuchumi na guidance ili waweze kuthrive kwenye jamii wakiwa watu wazima ,mnajaza Lundo la panya roads wahuni ,machangudoa na kizazi cha ovyo Tu mitaani na , ninyi ni kuvua chupi zenu na suruali na kuunganisha hiyo mikia yenu na mashimo yenu machafu tu na kuzaa basi
Kuwajibika hamtaki
 
Na hizi akili fupi ndio kiini kikubwa cha tatizo la vicious cycle ya umasikini kwa jamii za watu weusi hasa wa Afrika , unakuta kitu linazaa watoto ,lina biashara au uwekezaji flani ,halikuwahi kuwashirikisha watoto wake ,lenyewe linaamua kuwafukuza ,waende kuwa machinga na vibaka huko mitaani kuranda randa kusaka maisha bila misingi yoyote , siku likifa na huo uwekezaji unaliwa na watu baki na kufirisika kabisa .

Ndio maana jamii za watu weusi haifanikiwi kiuchumi kwa sababu tuna mentality za kimaskini za kutaka kila mtu ajitaftie kivyake tena bila misaada ,wakati kwa kiasi kikubwa utajiri unaodumu ni utajiri wa familia ,yaani kila members WA famili wanashirikiana kujenga wealth na hiyo ndio sustainable way ya kujenga utajiri unaodumu vizazi na vizazi na kuondoa umasikini kwenye jamii .
Nenda kwa watu wa Asia na wengine wanafanya hivi hivi na wanafamilia sana ,hata hapa Bongo matajiri wakubwa akina dewji nk ,ile ni family wealth ambayo imejengwa vizazi na vizazi
Sasa haya mafala yanayozaa watoto waje wawe na bodaboda na waokota Makopo sijui ni akili za wapi hizi
 
daah hapa umenikumbusha huyu dogo
 
Mimi nitahakikisha napata watoto na wakikua wanakuja kuendeleza miradi yangu ambayo nitakuwa nimewakuza wakiona kinachofanyika na wamefanya tangia wadogo , hii ndio principle ya waarabu ,wachina ,wahindi ,wayahudi nk
Ni muda muafaka watanzania wabadili mentality na kuangalia maisha kwa angle tofauti , hii ya kuzaa watoto mnawaachia mzigo serikali wawape ajira au waende kutangamana huko kuwa wakabaji na machangudoa sio kabisa .
Ni indicator ya kutojitambua na udumavu wa fikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…