Uchaguzi 2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

Tulijua tu haya yatatokea. Ni kazi kwao CHADEMA na mgombea wao kujiandaa kwa hili. Ila nchi itatikisika.
 
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,

Makamu Mwenyekiti alikuwa anatembelea Wanachama na Mashabiki wake na kuomba UDHAMINI.

Magufuli, Lipumba, Mbatia, Maalim wamekuwa wakitembelea Wanachama na Mashabiki wao na kugawa misaada na ahadi kedekede haukusema wewe na hao unao wataja.

Kigwangala aligawa pikipiki Jimbo Zima kimya.


Tulia misaada na zawadi zake mpaka anazunguka na majeneza kule Mbeya, hakuna aliyenyanyua mdomo wewe wala hao unaowasema.

Magufuli na ziara za kichama kwa mwamvuli wa Serikali anagawa pesa na ahadi kedekede haukusema wewe na hao unaowasema kuwa hizo ni KAMPENI KWA VYAMA VYAO.
 
Hakuna anayezuiliwa kugombea, ni haki ya kila Mtanzania kuweka pingamizi kwa mgombea anayemwona hafai kwa vigezo na masharti ya NEC.

Pia hakuna anayenyimwa fursa isipokuwa mtu anajiondoa kwa ujinga wake, badala ya kutafuta wadhamini yeye ni kutukana tu na kuzushia Magu. Sasa asubiri zamu yake ya kushughulikiwa na uzuri mmelijua hilo na kuanza kulialia mapema.

Mnadhani waTz ni wajinga mnaposema watachoka. Hivi mnadhani kakikundi kenu kamtandaoni ndio mnadhani ni waTZ wote?

Subiri aenguliwe ndio mtajua watu walikuwa wananenda kumshangaa ni matusi yake na pia Boda wakifuata mafuta
 
Tulijua tu haya yatatokea. Ni kazi kwao CHADEMA na mgombea wao kujiandaa kwa hili. Ila nchi itatikisika.
Nchi itatikisika??? Hahahahahhahhahhahahhahha

Tundu atikise nchi? Mnaota kweli.
Alishindwa kuitikisa aliposhambuliwa Dodoma aje kutikisa leo huyo Mbeligiji wenu. Ajiandae tu kurudi kwao au aendelee na harakati
 
nadhani ulinielewa nilichoandika, tusipotezeane mda
 
Mwambie Tundu awawekee mapingamizi ni haki yake. Hapa sio NEC unakuja kushtaki au kusema.

Lililopo mbele yetu, ni YEYE Mbeligiji kuwekewa pingamizi na wagombea wenzake na kuenguliwa kwa sababu za uzushi na maneno ya uchonganishi kwa amiri jeshi. Mbeligiji lazima arudi kwao mshamba huyu
 
Haya leta wewe idadi ya ufipa ya watu wanaofaa na kustahili kupiga kura.

Tayari nyumbu mmeshaanza kuisoma namba. Hivi kwa akili yako toka uchaguzi wa 2015 waTz wangapi walikuwa na Umri kati ya 13 hadi 17 wanastahili kuongezwa. Wangapi hawakujiandikisha 2015 safari hii wamejiandikisha.

Nenda Takwimu ukajiridhishe umri wa waTZ.
 
sijakuelewa na sitaki kukuelewa kwakuwa una viashiria vya upumbavu, hebu tulia tusiambukizane uzwazwa plz
 
si mliona raha kusindikizwa na polisi kila mkoa,
 
Hilo neno kuanza kampen kabla liko kwenye sheria ipi? Je magufuli na genge lake siku walipochukua form na kujikusanya pale dodoma na kuanza kuelezea hayo wanayoyaita mafanikio hàikuwa kampeni jiongeze wewe.
ukijiongeza wewe yatosha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…