Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,379
- 1,069
Give enough rope to a fool he will hange himself.ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Mwaka 2020 watanzania wamebadilika usiwafananishe na zamani hata congo Somalia zamani ilikuwa kama TanzaniaLissu atakatwa na hakuna Mtanzania atatoa pua yake nje kuingia barabarani kudai haki ya huyo mbeligiji mwenye damu ya kikenya.
Hapo ndo utajua Watanzania walivyo wanafiki Sasa.
Mtanzania akikupigia makofi tenga muda uyatathimini hayo makofi yalikuwa ya Aina gani na maudhui gani.
Sasa ni mwaka 2020 unyanyasaji uonevu udikteta wenu umechokwaMlianza miga Leo the hegue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
CCM wamewadharau watanzania hawajui kuwa hata Sudan, Tunisia Egypt walikuwa kama CCM siku wananchi walichoka mambo yalibadilika na jeshi kuwachenjia viongoziLissu kushindana na Magufuli ni lazima, kama Magufuli anamuogopa Lissu asubiri wananchi waamue. Wakimkata Lissu tutaingia barabarani nchi NZIMA. Siku zote za kampeni, tutakua barabarani KUDAI #tumehuruyaUchaguzi.
Safari hii hatutanii. Hapatatosha.
Wajaribu kumkata Lissu waone kama patakua na Uchaguzi.
Tutatapasuana matumbo tulane maini wenyewe kwa wenyewe kama Syria.
Miaka mitano ya MATESO na DHULMA imetosha. #SASABASI. #NIYEYE
#LISSURAIS2020
We VIPI? Hata kama ni ushahidi, hizo audio kaweka mtu mwingine kwa matashi yake, huyo mwingine anahusika vipi? Mbona unakuwa mzito kuelewa haya mambo!?juzi kwenye tamasha ilikua inawekwa audio ya magufuli akiomba kura tutaanzia hapo mwaga unga ni mwage mboga maji lazima muite mmma dadeki
Nasikia kaharufu kauchochezi kwa nia na lengo la kuvunja amani yetu.CCM wamewadharau watanzania hawajui kuwa hata Sudan, Tunisia Egypt walikuwa kama CCM siku wananchi walichoka mambo yalibadilika na jeshi kuwachenjia viongozi
We VIPI? Hata kama ni ushahidi, hizo audio kaweka mtu mwingine kwa matashi yake, huyo mwingine anahusika vipi? Mbona unakuwa mzito kuelewa haya mambo!?
Tutakuwepo kwa sababu MUNGU KWANZA haya mengine yatafuata.hilo tamasha liliendeshwa na pole pole ndio maana kila msanii alifata maelekezo ya kumuombea mzee baba kura haya ni lingine linakuja maaskofu na mashehe kesho kauudhurie basi mwna lumumba
Sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa nchi jamani,ingawa kila mtu ana haki ya kuchaguliwa,kwa nini hatuelewi?Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.
Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Tutawaua haki ya nani! Wasicheze na sisi raia tuna jambo letu muhimu na Tundu LissuMbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.
Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Haitakaa itokee akapitishwaLini NEC walimpitisha Tundu Lisu awe mgombea ?
Huyu atakuwa mgombea wenu wa kudumu, nchi haiwezi ongozwa na wavuta bangiTutawaua haki ya nani! Wasicheze na sisi raia tuna jambo letu muhimu na Tundu Lissu
Wewe Mbona unavuta Bangi kwa cyprian Musiba ambaye ni mshauri mkuu wa mtukufu mambo ya propaganda za kijinga jingaHuyu atakuwa mgombea wenu wa kudumu, nchi haiwezi ongozwa na wavuta bangi
Wewe ndiyo unapanga umri wa binadamu???Narudia tena, watanzania tunakaribia 60m. Iwapo wapiga kura ni 29m+, hiyo ni nusu kabisa ya watanzania wote. Inawezekana vipi nusu ya watanzania wote wakawa na miaka 18+? Halafu kibaya zaidi watu wote wenye miaka 18+ wakawa wamejiandikisha kupiga kura! Hivi kuna wajinga wa kupewa idadi ya hiyo bado dunia hii? Kisha tuamini matokeo yatakayotangazwa na tume yenye idadi ya wapiga kura wa uongo?
Wewe ndiyo unapanga umri wa binadamu???
Hujaweka na namba ya simu upate uteuzi kabla ya uchaguziHata mimi, kama mpiga kura niliyejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, nafikiria very seriously, KUMUWEKEA LISSU PINGAMIZI kwani kaanza kampeni mapema. Ninashauriana na Mawakili wangu na kuzipitia CLIP TULIZOKUSANYA wakati akiwa kwenye hiyo misafara yake ya "kutafuta wadhamini". Pia tunajaribu kuangalia kutoka kona nyingine ya KUTUMIA LUGHA YA MATUSI kwenye hiyo misafara yake. Ninataka nione huyo Amsterdam atakacho kuja kufanya kumsaidia huyu mteja wake.