Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

Na mtoto mwenye kilo nyingi/zilizozidi chakula cha aina gani na kwa ratiba gani?
 
Huu uzi huu ndio unafaaa sana kwa mama kijacho wangu lemmi bookmark it now..
 
tupo sawa mkuu wakwangu nikimpa uji wa ulezi ujue hapo ni vita. ila akiona wali,ndizi,viazi,ugali na tambi hapo atakula kama sio yeye
kwenye matunda sasa ndio mahala pake haswa chugwa ,embe na ndizi ndio anavila kwa kushika mwenyewe.

kwenye uji nampa uji wa dona uliochanganywa na blue bend,sukari kwa mbali na maziwa ya ng'ombe.

hapo kwenye maziwa tulimtafutia sehemu wanayo uza maziwa kisha tuka chagua ng'ombe mmoja tu kwa ajili yake.

kwa upande wa juisi wangu hanywi yani hapo ni vita. ila .anakunywa sana maji.

cha ajabu sasa hataki kulishwa na mama yake ila akilishwa na watu wengine anakula bila wasi wasi

kitu kinacho kuja mwanangu ana miezi 8 ila bado haja anza kutambaa ila meno anayo. jana tumempeleka kriniki amekutwa na kilo 10

kwenye kutambaa miezi nane mnunulie vigari vya mbao wa kwangu anatembea toka ana miezi tisa wa kwanza nilimnunulia baby walker alichelewa kutembea alitembea na miezi kumi na moja
mnunulie kigari cha mbao kinamsaidia sana
 
Mie wa kwangu sikuwahi kuwatia kwenye baby walker na wanawahi kutembea. Wengine wanasema na ziwa la mama linachangia. Kuna ziwa gumu na jepesi. Unajua kuna watt wanafika hadi mwaka hawatembei?
 
Mie wa kwangu sikuwahi kuwatia kwenye baby walker na wanawahi kutembea. Wengine wanasema na ziwa la mama linachangia. Kuna ziwa gumu na jepesi. Unajua kuna watt wanafika hadi mwaka hawatembei?

Hata me ya kwangu ananyonya ziwa la mama tu na vyakula kdg yupo very active miezi 5 ikua anatambaa na kusimamia vitu watu wakija wanamshangaa MaashaAllah now anaanza kujifunza dede aanze kunisaidia kupika
 
Mi wangu ana mienzi mitano ndo kanajifunza kukaaa cijui kacheleeeWa manake tumekaanzia mienzi minne kukakalisha na nimeanza kukapa na vijuice juice cijui Niko sahihi
 
MashaAllah, Allah amkuze na afya yake. Amuepushe na kijicho. Akue nae ajue kupika km mamaake
 
Mi wangu ana mienzi mitano ndo kanajifunza kukaaa cijui kacheleeeWa manake tumekaanzia mienzi minne kukakalisha na nimeanza kukapa na vijuice juice cijui Niko sahihi

Miezi 5 hata uji mwepesi anaweza kunza kumpa na matunda unafanya kama uji pia...
 
Farkhina aksante mno kwa uzi mzuri. Utatusaidia wengi.

Wangu ana miezi 5 soon tunaanza mchakato wa chakula. Maziwa ya mama ananyonya usiku tu. Mchana formula sababu kwanza alikuwa hashibi na pia ratiba za ajira.

Naomba kuuliza, tunashauriwa chakula cha mtoto kiwe fresh yaani kipikwe ale. Siyo unapika asubuhi ale jioni. Sasa wenzangu mnafanyaje? H/gs ndo wanapika mchana wakati mpo makazini au?

At least cha jioni mama unaweza andaa as ukiwahi kurudi...including weekends.

Maana hawa H/gs nao umakini unahitajika.

Inawezekana kabisa. Kwa mwanangu nililisimamia hili. Alikuwa anakunywa uji saa 2 asubuhi, saa 4 maziwa kiasi, saa 7 - saa 7 na nusu chakula chake fresh kinakuwa kipo tayari, Mlo wa mara moja. Saa 10-11 Juice/mbogamboga zilizosagwa, saa 2 usiku chakula kilichopikwa fresh. Saa 3 na nusu hoi kitandani amelala.
 
Mie wa kwangu sikuwahi kuwatia kwenye baby walker na wanawahi kutembea. Wengine wanasema na ziwa la mama linachangia. Kuna ziwa gumu na jepesi. Unajua kuna watt wanafika hadi mwaka hawatembei?

nasikiaga hyoo si unajua tena uzazi wa kwanza mashamsham meengi
kuhusu hilo la ziwa huwa nalisikiaga tena wa kwanza ni alikua anasumbiwa sana na vihoma ndo maana
kuna dada mmoja mtoto wake katembea na mwaka na miezi sita yaani nilichoka
 
Mi wangu ana mienzi mitano ndo kanajifunza kukaaa cijui kacheleeeWa manake tumekaanzia mienzi minne kukakalisha na nimeanza kukapa na vijuice juice cijui Niko sahihi

kwenye kula mi ndo nachelewa wanangu wananyonya miezi sita maana nna maziwa mengi namshukuru MUNGU yaani mtoto haliii wala hasumbui njaa akinyonya vizuri na kwa mfano huyu wa sasa niko likizo ya mwaka mzima mpaka ajaejae
ila miezi mitano kawaida ht uji mwepesi anakunywa
 
nasikiaga hyoo si unajua tena uzazi wa kwanza mashamsham meengi
kuhusu hilo la ziwa huwa nalisikiaga tena wa kwanza ni alikua anasumbiwa sana na vihoma ndo maana
kuna dada mmoja mtoto wake katembea na mwaka na miezi sita yaani nilichoka

Hee, hio kali
 
kumbe hili tatizo ni sugu, nilifikiri ni kwangu tu..... Ms.Lincoln njoo huku kuna tips
 
Last edited by a moderator:
Mimi mwanangu hapendi kula lkn anapenda maji sana kwa hiyo nikimlisha nampa kijiko kimoja chakula na vijiko viwili vya maji basi anakula vizuri na anakuwa anameza ata km hataki

Mbinu nzuri. Hata hivyo ningependekeza apewe juice ya chungwa badala ya maji.
......mwanangu yupo 4 yrs now,lakini alipokuwa na umri wa miezi 6 -12 menu yake kubwa ilikuwa asubuhi nilikuwa nampa avocado nusu na ndizi nusu. Nachanganya na mtindi na rice cereal vijiko 2. Anashushia na maziwa 6 ounces.

Maziwa ya mtindi chini ya umri wa mwaka mmoja inaruhusiwa?
Pretty hata watoto wa miezi 7 na kurndelea wanaweza anza kujifunza kula wenyewe ila ni kuhakikusha tu vyakula ni soft kama karot unachemsha au ku steam ili visiwakae kooni....

Mtoto akikaribia miezi 10, ni vyema kuacha kusaga chakula chake kwa blender. Saga kwa mkono. Na baadae kidogo-kidogo umpe chenye magonge madogo. Vinginevyo atasumbua kula vyakula visivyosagwa akiendelea kukua.

Mi mtoto wangu asb anapata uji wa ulezi.
Mahitaji
.ulezi
. Karanga
. Mchele

Unapompa uji wa ulezi, choo chake hakiwi kigumu? Nini unampa ili kurahisisha digestion na apate choo laini?

Ningeshauri usimpe sukari katika uji. Mpe Asali ya nyuki wakubwa kijiko kimoja badala ya asali.

Sukari au soda ni bora kuepukwa. Asali si vyema kumpa mtoto wa chini ya mwaka mmoja.
Madokta wanakataza asali kuwapa mtoto under 1 year hususan mbichi ila mie wa kwangu namrambisha siku moja moja alipokuamchanga alikua anacheua maziwa sana nkawa namrambisha ikaacha kabisa

Kwa nini unakiuka ushauri uliopewa? Utumbo wa mtoto wa chini ya miezi 12 ni very delicate. Kuna aina za bacteria sio vizuri mtoto wa umri huu apate.
 
Back
Top Bottom