Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Na mtoto mwenye kilo nyingi/zilizozidi chakula cha aina gani na kwa ratiba gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupo sawa mkuu wakwangu nikimpa uji wa ulezi ujue hapo ni vita. ila akiona wali,ndizi,viazi,ugali na tambi hapo atakula kama sio yeye
kwenye matunda sasa ndio mahala pake haswa chugwa ,embe na ndizi ndio anavila kwa kushika mwenyewe.
kwenye uji nampa uji wa dona uliochanganywa na blue bend,sukari kwa mbali na maziwa ya ng'ombe.
hapo kwenye maziwa tulimtafutia sehemu wanayo uza maziwa kisha tuka chagua ng'ombe mmoja tu kwa ajili yake.
kwa upande wa juisi wangu hanywi yani hapo ni vita. ila .anakunywa sana maji.
cha ajabu sasa hataki kulishwa na mama yake ila akilishwa na watu wengine anakula bila wasi wasi
kitu kinacho kuja mwanangu ana miezi 8 ila bado haja anza kutambaa ila meno anayo. jana tumempeleka kriniki amekutwa na kilo 10
kwenye kutambaa miezi nane mnunulie vigari vya mbao wa kwangu anatembea toka ana miezi tisa wa kwanza nilimnunulia baby walker alichelewa kutembea alitembea na miezi kumi na moja
mnunulie kigari cha mbao kinamsaidia sana
Mie wa kwangu sikuwahi kuwatia kwenye baby walker na wanawahi kutembea. Wengine wanasema na ziwa la mama linachangia. Kuna ziwa gumu na jepesi. Unajua kuna watt wanafika hadi mwaka hawatembei?
Hata me ya kwangu ananyonya ziwa la mama tu na vyakula kdg yupo very active miezi 5 ikua anatambaa na kusimamia vitu watu wakija wanamshangaa MaashaAllah now anaanza kujifunza dede aanze kunisaidia kupika
Mi wangu ana mienzi mitano ndo kanajifunza kukaaa cijui kacheleeeWa manake tumekaanzia mienzi minne kukakalisha na nimeanza kukapa na vijuice juice cijui Niko sahihi
MashaAllah, Allah amkuze na afya yake. Amuepushe na kijicho. Akue nae ajue kupika km mamaake
Farkhina aksante mno kwa uzi mzuri. Utatusaidia wengi.
Wangu ana miezi 5 soon tunaanza mchakato wa chakula. Maziwa ya mama ananyonya usiku tu. Mchana formula sababu kwanza alikuwa hashibi na pia ratiba za ajira.
Naomba kuuliza, tunashauriwa chakula cha mtoto kiwe fresh yaani kipikwe ale. Siyo unapika asubuhi ale jioni. Sasa wenzangu mnafanyaje? H/gs ndo wanapika mchana wakati mpo makazini au?
At least cha jioni mama unaweza andaa as ukiwahi kurudi...including weekends.
Maana hawa H/gs nao umakini unahitajika.
Miezi 5 hata uji mwepesi anaweza kunza kumpa na matunda unafanya kama uji pia...
Ningeshauri usimpe sukari katika uji. Mpe Asali ya nyuki wakubwa kijiko kimoja badala ya asali.
Huu uzi huu ndio unafaaa sana kwa mama kijacho wangu lemmi bookmark it now..
Mie wa kwangu sikuwahi kuwatia kwenye baby walker na wanawahi kutembea. Wengine wanasema na ziwa la mama linachangia. Kuna ziwa gumu na jepesi. Unajua kuna watt wanafika hadi mwaka hawatembei?
Mi wangu ana mienzi mitano ndo kanajifunza kukaaa cijui kacheleeeWa manake tumekaanzia mienzi minne kukakalisha na nimeanza kukapa na vijuice juice cijui Niko sahihi
Ningeshauri usimpe sukari katika uji. Mpe Asali ya nyuki wakubwa kijiko kimoja badala ya asali.
nasikiaga hyoo si unajua tena uzazi wa kwanza mashamsham meengi
kuhusu hilo la ziwa huwa nalisikiaga tena wa kwanza ni alikua anasumbiwa sana na vihoma ndo maana
kuna dada mmoja mtoto wake katembea na mwaka na miezi sita yaani nilichoka
Madokta wanakataza asali kuwapa mtoto under 1 year hususan mbichi ila mie wa kwangu namrambisha siku moja moja alipokuamchanga alikua anacheua maziwa sana nkawa namrambisha ikaacha kabisa
Mimi mwanangu hapendi kula lkn anapenda maji sana kwa hiyo nikimlisha nampa kijiko kimoja chakula na vijiko viwili vya maji basi anakula vizuri na anakuwa anameza ata km hataki
......mwanangu yupo 4 yrs now,lakini alipokuwa na umri wa miezi 6 -12 menu yake kubwa ilikuwa asubuhi nilikuwa nampa avocado nusu na ndizi nusu. Nachanganya na mtindi na rice cereal vijiko 2. Anashushia na maziwa 6 ounces.
Pretty hata watoto wa miezi 7 na kurndelea wanaweza anza kujifunza kula wenyewe ila ni kuhakikusha tu vyakula ni soft kama karot unachemsha au ku steam ili visiwakae kooni....
Mi mtoto wangu asb anapata uji wa ulezi.
Mahitaji
.ulezi
. Karanga
. Mchele