Pre GE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

Pre GE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Popote mashtaka mtu aweza peleka ila aweke ushahidi Sio kuwa unaposhtaki Kwa wananchi hutakiwi kuweka ushahidi

Lisu kapotoka
..aliyepotoka ni Abduli na Mama yake.

..kwa mfano haya mabango nchi nzima fedha wametoa wapi?
 
Mtu ambaye alipigwa risasi na bado anaweza simama jukwaani kumsema rais na mtoto wake hadharani si kama wanaojificha nyuma ya keyboard unamwita muoga? Waoga ni wale keyboard warriors.
Hajamtaja Raisi Wala mtoto wa Raisi usimlishe maneno

Yeye mikutano yake akimtaja Abdul hasemi mtoto wa Raisi na akimtaja Mama Abdul hasemi ni Raisi Wala mama wa Taifa Wala kama kiongozi wa Nchi yeyote
 
Au chadema au lisu wameona watanzania hawana reasoning capacity wakaona waanze kiwadanganga baada ya kuona mama anafanya kazi zinazogusa kila mtu.
Acha kuandika jambo bila kufikiri kwanza, inaonesha hata darasani ulikuwa boga. Kwa ujinga wako unaliona swala la rushwa ni kubwa kuliko zile risasi alizopigwa! Kama polisi wamegoma kuchukua hatua zozote kuhusu lile shambulio wataweza kuchukua hatua dhidi ya rushwa? Mkizaliwa wenyewe mjiongeze akili ili jamii isiwaone maboga.
 
Kwa msomi anayejielewa anatakiwa anapoongea aweke na evidence sio kuongea tu kama mlevi wa pombe za kienyehi ohh Abdul alitaka kunipa rushwa Abdul Tanzania wako mamilioni wenye Hilo Jina unataka Abdul yupi aende Mahakamani? Lisu anaongea kitoto sana lugha za uswahilini Kwa mashambenga waongea mipasho

Yaani uongeaji wake haupo full weledi kwenye tuhuma haongei Kwa vielelezo vya ushahidi anabweka tu halafu anayebwekea hajulikani halafu anataka huyo asoyejulikana ndie aende atoe ushahidinkana hakutaka kumhonga mbona utoto sana huo

Anageuza jukwaa la siasa kuwa sehemu ya vichekesho
Jukwaa la siasa linataka Watu serious sio comedians kama Lisu alivyogeuka Sasa hivi
Unless hujaiona clip yote
Kamtaja Abduli mtoto wa rais Samia.
Kaiangalie tena.
Tunasubiri Abduli akanushe
 
Unless hujaiona clip yote
Kamtaja Abduli mtoto wa rais Samia.
Kaiangalie tena.
Tunasubiri Abduli akanushe
Hakuna

Mtuhumu ndie atoe ushahidi

Lisu bado anaishi Enzi zile mabwege wa Sheria na polisi wakiosona vitabu vya Sheria edition za zamani

Sasa hivi vijana wadogo wako fit atasubiri sana na Sheria zake za kizee alisoma vi syllabus vilipvyopitwa na wakati wakamfunza ujanja wa kijinga

Yeye ndie azalishe ushahidi kauli zake anazotoa kwenye majukwaa Kuna angle ataingia 18 tu za wanasheria vijana wadogo tu waliosoma new syllabus ya Sheria na kusoma new editions za vitabu vya Sheria
 
Hakuna

Mtuhumu ndie atoe ushahidi

Lisu bado anaishi Enzi zile mabwege wa Sheria na polisi wakiosona vitabu vya Sheria edition za zamani

Sasa hivi vijana wadogo wako fit atasubiri sana na Sheria zake za kizee alisoma vi syllabus vilipvyopitwa na wakati wakamfunza ujanja wa kijinga

Yeye ndie azalishe ushahidi kauli zake anazotoa kwenye majukwaa Kuna angle ataingia 18 tu za wanasheria vijana wadogo tu waliosoma new syllabus ya Sheria na kusoma new editions za vitabu vya Sheria
đŸ˜‚ đŸ˜‚ đŸ˜‚ đŸ˜‚
We mjanja wa sheria unaisaidia nini jamii inayo kuzunguka? Umeandika kwa ghadhabu na hasira nyiingii as if una ugomvi na Lissu. Control wivu na chuki zako.
 
Iko wapi hi hbr je hajaijadili humu ?

Kwaninj huyu dogo anataka kumuonga lissu kwa lipi na kwani amuonge pesa ili afaidi nn

Lissu amesema "nimemtimua abduli na pesa zake anazotaka kunipa "

Kwanin Abdul usiwaendee kina mboye why lisu na mange???
 
Back
Top Bottom