Hata uwe lawyer kama mfumo wa utoaji haki ni corrupt ina maana haufuati sheria wala ushahidi hauwezi kufanya kazi. Vitu vinafanya kazi kama mfumo uko sawa kama hauko sawa hauwezi kufanya kazi kila kitu kitafail. Ni sawa uwe daktari mzuri ila hakuna vifaa tiba.
Na hizo tuhuma za kua mfumo wa kusimamia na kutoa haki uko corrupt, hatujasikia akitoka kiongozi wa huo mfumo kuwapinga au wao kufukuzwa kwa kusema uongo. Hivyo ni kuwa wanakubali kuwa mfumo uko corrupt. Sasa kama serikali ya CCM haiamini mifumo yake kwanini mpinznai auamini?