Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,428
- 3,937
Ni kweli kabisa adui anaweza kutumia weakness zetu kufanya anachokita.
Ukweli ni kwamba kumekua na changamoto haswa kiuchumi na lawama nyingi zikiwa zinatupwa kwa serikali. Lakini tukijiuliza nini kinafanyikana ni kwamba mfumo wa uchumi ulivurugika sasa tunataka kuurudisha sehemu. Hii iko sensitive sana na inagusa maisha ya kila mtu na ndio maana tunalalamika. Ila sasa, ni kweli serikali haijafanya maendeleo yoyote makubwa kwa miaka mitano iliyopita? Kama yapo ni maendeleo endelevu? Na yanagusa maslahi ya wananchi walio wengi?
Kuhusu swala la areaD naomba nisiliongelee sababu naweza kuwa na mawazo tofauti ila swala la tundu kutumika liko wazi mnoo.
Wanasiasa ni watu smart sana wanajua kutengeneza misingi ya kuaminika kwa interest zao binafsi.
Tundu amekua mtetezi mkubwa wa wazungu kwenye medias sio leo tangu 2016. Kwenye mijadala yake ameonekana kuwa pamoja nao kwenye mipango yake hata ya nchi zaidi ya watanzania wenzake.
Tundu sio mzalendo kabisa. Taifa letu bado changa sana tukipata rais anayetumia demokrasia anavyotaka bila kuwa mzalendo tutamezwa na kupotea.
Alipopata matatizo watanzania tuliumia sana sababu kile alichofanyiwa kilikua ukatili. Alirudi nchini kwaajili ya uchaguzi tulimpokea kwa furaha lakini siku zilipokua zinaenda alianza kutiliwa shaka kwa kauli zake ziliwafanya watanzania walio wengi kumtilia shaka
Alikua mtu aliyeponda kila kitu kilichofanyika hata vile ambavyo wananchi waliviona vya thamani yeye alivibeza. Hapa alijiaribia mnoo
Alikua mtu mwenye kujisifu kwa kuegemea mataifa ya magharibi na mwenye kuzitukuza mila zao kiasi cha kuthibitisha yake yaliyokua yanatiliwa shaka kumhusu
Hatimae mimi na watanzania wengine tulilinganisha kati yake na Magufuli tukafanya maamuzi kwamba Magufuli ni bora zaidi
Wewe ni mshenzi tu. Eti Lissu anazitukuza mila za mataifa ya magharibi, zipi hizo? Eti ulimuonea huruma alipopigwa risasi, wakati huo huo unashindwa kukubaliana na clear evidence ya wahusika wakuu. Eti unadai haukupendezwa na alichoongea baada ya kurudi, haujui kuwa yote ambayo Lissu amekuwa anayasema kwenye kampeni, amekuwa anayasema kwa miaka 5 sasa hata alipokuwa kitandani?
Na acha kuzungumza kama unawaongelea watanzania wote. Zungumza unachoamini wewe, acha propaganda hauziwezi!
Na hilo neno mzalendo acha kulitumia maana haujui hata maana yake.