HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hapana proton vpn is freeasa mpaka nilipie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana proton vpn is freeasa mpaka nilipie
Aliposema tuendelee na shughuli zote kama kawaida na hadi leo hii ndio imekuwa hivyo tofauti na ulaya ambapo wengi wamerudi lockdown, ulielewa nini? Angewasikiliza na kelele zenu za lockdown leo mngekuwa na hiyo mikusanyiko?!..aliipuuza vipi wakati alikuwa kajificha Chato kwa zaidi ya siku 40?
..ktk corona naheshimu mchango wa Ummy Mwalimu na Faustine Ndugulile.
Kwahiyo ummy na ndugulile walikua wanajiamulia maswala ya kitaifa bila rais mwongozo wa rais😂..aliipuuza vipi wakati alikuwa kajificha Chato kwa zaidi ya siku 40?
..ktk corona naheshimu mchango wa Ummy Mwalimu na Faustine Ndugulile.
Tangulia wewe kuchukuwa hatua. Kama ni kuandamana tangulia wewe. Wewe una uchungu lakini kuwa mstari wa mbele hutaki. Unawahamasisha wengine waandamane kwa faida yako na Lissu. Huo uhuru unaotaka, kwa nini unataka wengine wakutetee na siyo wewe uwe mbele na sisi tufuate. Acha kujificha huku JF na kujifanya mpiganaji kumbe muoga kama kunguru.Hatuwezi kuishi kwenye nchi ya kipuuzi namna hii. Yaaani binadamu mwenzetu anaonewa kiasi hiki tena waziwazi na wala tusichukue hatua.
Walimpiga risasi wakitaka kumuua, akapona mauti ila wakamnyima matibabu, akapona kabis wakamvua ubunge na kukataa kumlipa hata kiinua mgongo kwa kipindi alichotumikia.
Sasa amegombea uraisi hawaachi figisu, mikoa ya kusini wamemzuia kufanya mikutano zaidi ya 10, na Mkoa wa Pwani pia, kisa magufuli ameshindwa kufanya kampeni kusini.
Sasa leo anakuja kufunga kampeni Dar wanamletea figisu tena kwa makusudi. Sasa tunasema imetosha!!!!
Kesho kwa hasira tunaenda kupiga kura nyingi kwa Lissu na tutalizilinda hakika kwa gharama ya damu zetu. Hata tukifa ila historia itatukumbuka.
Mimi ni nani nijibu? Tangu akienda huko alijua anawekewa vikwazo, kwani alijua saa moja kabla? Kama hakuwa na plan B hilo lake na siyo langu. Mtu anajisemea tu eti tutaruka bila kibali, kwani anajirusha? Kwani hajui marubani wana ethics zao? Au rubani ni Mbowe?
Kwahiyo ummy na ndugulile walikua wanajiamulia maswala ya kitaifa bila rais mwongozo wa rais😂
Nimekuhurumia sana leo. Kumbe ndio akili zakò hizo😂..bwana mkubwa alikuwa kajificha.🤣
..baada ya Umy na Faustine kuweka mambo sawa ndio akajitokeza.
..Shame on him!
..yeye mbona alikuwa kajificha huku akielekeza wananchi waendelee na shughuli zao kama kawaida?Aliposema tuendelee na shughuli zote kama kawaida na hadi leo hii ndio imekuwa hivyo tofauti na ulaya ambapo wengi wamerudi lockdown, ulielewa nini? Angewasikiliza na kelele zenu za lockdown leo mngekuwa na hiyo mikusanyiko?!
Pumbavu ameenda na kufika. Vimbunga vya kubumba ni vya mataahira walioiba uraiskwahiyo unafikiri ukiwa na chopper unajirushia muda wowote unaotaka?😄
hali ya hewa ukanda huu wa pwani leo umeiona?angeweza hata kupanda ndege za kawaida ili awahi ratiba zake,hamna haja ya kulazimisha mambo.
Nimekuhurumia sana leo. Kumbe ndio akili zakò hizo😂
Ndugulile alitenguliwa cheo chake kwanini?..bwana mkubwa alikuwa kajificha.[emoji1787]
..baada ya Umy na Faustine kuweka mambo sawa ndio akajitokeza.
..Shame on him!
Hawa jamaa ni wapuuzi sanaalafu akipata on air collusion akigongana na ndege nyingine mje na visingizio na lawama
Hili jinga linazidi kulalamika kila ka kitu kulalamika, we unaambiwa usubiri kwa sababu za kiusalama wa anga unakuja mbio kulalamika kwa mabwanyeye wenu mitandaoni, ovyo kabisa machadema.ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU
-------
Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper yetu ili tuweze kwenda Dar kwa ajili ya mkutano wetu wa kufunga kampeni unaotakiwa kuanzia Kawe saa tisa mchana.
Hata hivyo tumeshindwa kuondoka KIA kwa sababu hatujapatiwa kibali cha kutua Dar na Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA).
Huu ndio umekuwa utamaduni wa TCAA katika kampeni hizi tangu tuanze kutumia chopper. Wanatumiwa na CCM ili kuhujumu kampeni zetu na ndivyo walivyofanya wiki iliyopita Lindi na Mtwara.
Sasa itatulazimu tuondoke KIA kuelekea Dar bila kibali cha TCAA; wafanye lolote wanalotaka kufanya. Mimi na wenzangu hatutakubali kunyanyaswa namna hii tena. Dar jiandaeni, tuko njiani tunakuja!
Ndugulile alitenguliwa cheo chake kwanini?
Nirais ndio anaamuru lockdown hata Ummy angetaka lockdown na kutoa upadate kila siku asingefanya hivyo bila idhini ya rais.
Rais alimua na kutoa maelekezo wasaidizi wake ni kutekeleza na kumshauri .
Ingawa nyie mnasema hashauriki na kama hashauriki kwa hiyo maamuzi yanabaki kuwa aliamua yeye mwenyewe rais na kuwaelekeza wasaidizi wake.
Labda tufute kauri ya hashauriki then tuseme wasaidizi wake walimshauri vyema.
Yote katika yote hitimisho ni Rais wetu juu ya Corona aliamua vyema na maamuzi yake yamekua na manufaa kwetu.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Nguchiro kwa binadamu ni tusi. Umeongeza neno .. wakike. Kwa kuamini kwamba wa kike ni tusi zaidi.Nguchiro wa kike wee
Huyo pilot ukimfungia unamuongezea umaarufu.Ukifanye hivo pilot anafungiwa kutoendesha tena nchini
Kama huna cha kuongea kaa kimya,Hivi kwanini hapendi kutii sheria bila shuruti
Nguchiro kwa binadamu ni tusi. Umeongeza neno .. wakike. Kwa kuamini kwamba wa kike ni tusi zaidi.
Swali; Ina maana wewe kwenu kuwa wa kike ni kukosa thamani?
Atii Sheria ipi? Sheria ya mwaka gani? Kumzuia kwenda kwenye kampeni zake bila sababu? Kwanini hamtumii akili zenu? Umzuie mtu haki yake, akikuuliza kwanini unadai siyo mtii wa sheria. Mnataka atii sheria ipi? Ya kumkandamiza? Hebu tumieni hekima kidogo, acheni ujinga.Hivi kwanini hapendi kutii sheria bila shuruti