Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Kwa akili yako unadhani plan B ni ipi??? Kama kutumia gari unajua umbali wa Dar-Moshi wewe????

Tatizo ccm mmejazana vilaza sana na Ndo mana miaka nenda rudi nchi yetu chini yenu itazidi kuwa masikini sana. Ccm hamna akili sana na lazima tuwatoe mwaka huu
Hiyo ni kazi yao, siyo ya mtu wa JF. Watu wanapanga na watua sayari ya Mars, wewe unasema hakuna plan nyingine! KIla mtu anatakiwa kupanga ya kwake. Kazi yetu hapa ni kumpa challenge, solutions anazo mwenyewe! Kama hana, huo ndo mwisho wa kufikiri kwake na anyamaze.
 
Spana zimeendelea bila kibali cha Anga Lissu shikamoo
 
Baba Zima kazi kulalamika tuu, huna jipya. Watanzania hatutakupa u Rais kwa kukuonea huruma. Kudeka kwako mpelekee Amsterdam.
 
Simu yangu hakuna net kabisa nashangaa jf sijui naingiaje inakubali

Kuna kitu wanahangaika kujaribu kuzuia mawasiliano ya net data! Nina mashaka mpaka usiku huu na kuamiia kesho asbh na kuelekea matokeo hatutakuwa hewani. YouTube, WhatsApp, Twitter, Insta, Google wanakwenda kuzi-block ili Watz wasipashane kuhusu yanayojiri kwene Uchaguzi!!
Ogopa Sana Utawala wa Kidikteta!!
 
Zanzibar-ASP[/USER] naona ume like hii thread.
 
They thought Lissu is a weak person... sasa wameamini...shame kwa mamlaka ya anga kutumika kisiasa.

Game changer!! Tundu Antipas Lissu
 
Hiyo ni kazi yao, siyo ya mtu wa JF. Watu wanapanga na watua sayari ya Mars, wewe unasema hakuna plan nyingine! KIla mtu anatakiwa kupanga ya kwake. Kazi yetu hapa ni kumpa challenge, solutions anazo mwenyewe! Kama hana, huo ndo mwisho wa kufikiri kwake na anyamaze.
Nimekuuliza utakuwa na plan B gani kufika kawe kutokea Kilimanjaro ndani ya saa moja au masaa mawili bila kutumia ndege??? Nijibu???
 
Kwanini hamkuoversee hii possibility? Ndio maana nasemaga hamjawa tayari kuongoza, hii ilitakiwa muione kabla na muweke plan B,C,D
Ndio maana Magu anajipandiaga magari tuu
 
Nimekuuliza utakuwa na plan B gani kufika kawe kutokea Kilimanjaro ndani ya saa moja au masaa mawili bila kutumia ndege??? Nijibu???
Mimi ni nani nijibu? Tangu akienda huko alijua anawekewa vikwazo, kwani alijua saa moja kabla? Kama hakuwa na plan B hilo lake na siyo langu. Mtu anajisemea tu eti tutaruka bila kibali, kwani anajirusha? Kwani hajui marubani wana ethics zao? Au rubani ni Mbowe?
 
Kuna kitu wanahangaika kujaribu kuzuia mawasiliano ya net data! Nina mashaka mpaka usiku huu na kuamiia kesho asbh na kuelekea matokeo hatutakuwa hewani. YouTube, WhatsApp, Twitter, Insta, Google wanakwenda kuzi-block ili Watz wasipashane kuhusu yanayojiri kwene Uchaguzi!!
Ogopa Sana Utawala wa Kidikteta!!
Hata US kuna hilo Boss! Ni mbinu mpya ya kuzuia mitandao kuingiliana na sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom