Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

mimi nipo Dar muda huu hali ya hewa ni shwari. acheni uzushi
Uongo Mimi.pia Niko Dar Gongo LA mboto mvua imesimama hainyeshi ila kuna wingu LA mvua LA kufa MTU dakika yeyote mvua inashuka
 
Hakika naikumbuka movie ya Dolph Lindgren, inaitwa Bridge of the Dragon , Adui Ni Gary Hiroyuki Tagawa, Tagawa ulikuwa ikiongoza kikosi kilichoenda kumsaka Dolph akiwa na mtutu wa bundiki na mwisho wa siku Dolph alikamatwa chini ya kiongozi jadiri Tagawa,
Lissu ongoza mpambano utashinda tu , wananchi tupo nyuma yako kusapoti.
Mbona naona upo maghetoni umejifungia.
 
03AAAD9E-48D6-438B-B250-C0F37F6BD558.jpeg
 
Once a mistake, twice a habit

Ni wafuasi wa CDM ndio wanaweza amini uongo wa Lissu. Kuna rubani anaweza ingia angani bila ya kuwa na mawasiliano.

Yaani rubani arushe ndege bila ya mamlaka ya anga labda kama anataka kufutiwa leseni yake.

Hakuna cha kucheleweshwa na mamlaka ya anga wala nini alikuwa anavuta upepo kama watu wamejaa kwanza uwanjani ndio aamue aende au aukache mkutano.

Sijui yukoje huyu mtu yaani anawadharau kweli wafuasi wa CDM mtu ana uongo wa kishamba kweli halafu unakuta mijitu inatetea tu.
 
Kwa nini asitume boda boda imletee hayao mafuta kwenye dumu la maji ajazie huko alikokuwa kisha aondoke bila kupita KIA?
 
Kwa kuaanza ku over see kila possibility ya kukwamisha huwezi kufanya kampaini, kumzuia lissu kutofika Dar kwenye mkutano huo wahamisho kwa vikwanzo vya TCAA ni faida kubwa kwake katika kampeini kuliko kuhudhuria hicho kikao
Atafika Dar wapende wasipende!
 
Uongo Mimi.pia Niko Dar Gongo LA mboto mvua imesimama hainyeshi ila kuna wingu LA mvua LA kufa MTU dakika yeyote mvua inashuka
Unabishana na jamaa aliyepo Machame huyo, chadema kwa akili hizi ndio wa kuongoza Jamhuri ya Tanzania hawa...
 
Lissu anaingiza siasa kwenye kila suala ilimradi tu anaishi kwa kutegemea kuonewa huruma.

Helikopta iliyotakiwa impeleke Waziri Mkuu huko huko Mtwara ilizuiwa kuruka kwa sababu za kiusalama sembuse helikopta ya Lissu!.

Msumbiji imepakana na Mtwara na huko wapo jamaa wa El Qaeda na ukumbuke helikopta uwezo wake wa kwenda juu sio zaidi ya mita 1000, zikitunguliwa na magaidi hawa hawa wanaolaumu mamlaka ya anga ndio watakaokuwa wa kwanza kulaumu.

Lissu anawapata wachache wenye kuyatazama masuala kwa mtazamo wa juu juu tu.
Na kila kampeni zake ni mane o ya kuonewa huruma. Kwann haishi kulalamika kuonewa kwa kila jambo?

Wamwambie aongee aache kulia lia. Na i atakuwa Urais ili hali ni dhaifu?
 
Back
Top Bottom