Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA


Wewe ni mshenzi tu. Eti Lissu anazitukuza mila za mataifa ya magharibi, zipi hizo? Eti ulimuonea huruma alipopigwa risasi, wakati huo huo unashindwa kukubaliana na clear evidence ya wahusika wakuu. Eti unadai haukupendezwa na alichoongea baada ya kurudi, haujui kuwa yote ambayo Lissu amekuwa anayasema kwenye kampeni, amekuwa anayasema kwa miaka 5 sasa hata alipokuwa kitandani?

Na acha kuzungumza kama unawaongelea watanzania wote. Zungumza unachoamini wewe, acha propaganda hauziwezi!

Na hilo neno mzalendo acha kulitumia maana haujui hata maana yake.
 
Najizungumzia mimi na watu wengine wanaoamini kwenye hilo. Wala sikukutaja popote
Nikutakie maandalizi mema ya uchaguzi
 
Najizungumzia mimi na watu wengine wanaoamini kwenye hilo. Wala sikukutaja popote
Nikutakie maandalizi mema ya uchaguzi

Uchaguzi upi huo unaonitakia maandalizi mema?

Huu ambao mnawaambia wapiga kura wasiangalie wagombea wengine kwenye karatasi kwa sababu siyo wagombea halali?

Au unaongelea uchaguzi huu ambao wapiga kura, wagombea na wasaidizi wao wanakamatwa, wanapigwa mabomu na risasi kila siku?

Au uchaguzi huu ambao mnawaambia wapiga kura hata wakipigia kura wengine, kura zao hazina maana yoyote?

Au unaongelea uchaguzi huu ambao Mkurugenzi wa uchaguzi anaongea na waandishi wa habari ofisini kwake huku mgombea mmoja ana picha yake ukutani?

Ondoa upuuzi wako hapa.
 

Saitakuaje😂😂😂
 
Hiyo chopa ni mali ya kampuni ya mabeberu unasemaje hapo, tena beberu mwenyewe yulee, MZEE WA FITINA DUNIANI!!! akikuwekea fitini tu dunia nzima, watakuona hufai!!! Hiyo mi bombarded itaozea hapo!!!! Mambo ya siasa uyaingize kwenye kazi za watu?!!!
 
Hatuwezi kuwa na rais wa ivi. Yaani wewe ni full malalamiko. Kama mtoto aliyedeka
 
Tunashukuru kafika.
Angedondoka angani lawama angepewa Magufuli.

..angedondoka kwasababu RADA zilizimwa hapo lazima lawama angepewa Jiwe.

..Ni sawa na alivyocharangwa marisasi baada ya walinzi wa area D kuondolewa.

..Nani ana mamlaka ya kuondoa walinzi wale? Na katika zama hizi za kila mtendaji kudukuliwa ilikuwaje watu wakapanga mipango mikubwa hivyo wasijulikane?
 

Alaa kuumbee tatizo sio CCM, tatizo ni Magufuli.
Mkuu ukitaka kujadili jambo kwa hoja zenye nguvu, kwanza ondoa hiyo chuki uliyonayo kwa Magufuli.
La sivyo utaonekana kilaza mwendawazimu!
Hapo kwenye rada sijui umeandika upuuzi gani, hujui mambo ya anga, huna utalaamu hata kidogo tena unachanganya mada!
Sasa unataka tujadili mambo ya anga, au ya area D na kucharangwa marisasi?
 

..let have an open discussion. Masuala ya anga, area D, kucharangwa marisasi, etc.

..Hoja yangu ilikuwa kwamba, mazingira ya ajali ndiyo yange-determine lawama zinaelekezwa kwa nani.

..Hata tukio la area D, Jiwe analaumiwa kutokana na mazingira ya jinsi shambulizi lilivyotokea.

..Hakuna maelezo yoyote ya kuridhisha kwanini walinzi waliondolewa Sept 7, 2017 siku aliyoshambuliwa TL.
 
Sasa itatulazimu tuondoke KIA kuelekea Dar bila kibali cha TCAA; wafanye lolote wanalotaka kufanya. Mimi na wenzangu hatutakubali kunyanyaswa namna hii tena. Dar jiandaeni, tuko njiani tunakuja
halafu anata tumpe urais mtu muongo hivi
helicopter sio kama boda boda ndugu Tundu lissu
 
Kati ya sisi na ulaya wapi wamechukua tahadhari zaidi? Wapi wameathirika zaidi? Kujificha au kutojificha inahusika vipi na msimamo wake wa kutoweka lockdown? Angesikiliza mikele yenu ya kuweka watu lockdown leo mngekuwa na hiyo mikusanyiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…