Pre GE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna mpambano wowote kati ya Mbowe na Lisu. Lisu ana baraka zote za Mbowe.
 
Kosa kubwa la Mbowe ni kuamini 4R za Samia, hakujua kiwa Samia ni mswahili, muongo na mnafiki
 
Moto anaoupeleka Lissu haujapata kutokea. Kila kona ya nchi wanataka mabadiliko kwenye chama kasoro mikoa mitatu tu. Dar es Salaam, Kilimanjaro na Arusha.
Mkuu moto wa lissu ni kote, sio Kilimanjaro, dar wala Arusha.Muda utasema, lissu anaaminika Sana miongoni mwa watanzania na wanachadema kiujumla
 
Kosa kubwa la Mbowe ni kuamini 4R za Samia, hakujua kiwa Samia ni mswahili, muongo na mnafik

Umemaliza, taarifa Toka Lumumba, wanatafakari namna Gani ya kumpiga chini lissu kwenye kugombea uongozi chadema
 
Chadema itapasuka kama Mbowe ataamua kugombea. Hili nakuhakikishia sababu Team Mbowe wana siasa chafu za kuchafuana, Mbowe akigomea watamchafua na watamchezea rafu zote(Kumbuka kuna maccm ndani ya chadema ambao lengo lao ni kuharibu)
 
Punguza dharau na wivu. Lissu alichaguliwa kugombea Urais maana chama kilimwamini.
Kukuamini kuna tafsiri, si lazima iwe ile ya kushinda..inaweza kuwa ya kukutia nguvu na kuonyesha mshikamano ili tuendelee pamoja.
 
Mbowe hangombei mtaniambia. mchezo wa kisiasa huo
 
Chadema itapasuka kama Mbowe ataamua kugombea. Hili nakuhakikishia sababu Team Mbowe wana siasa chafu za kuchafuana, Mbowe akigomea watamchafua na watamchezea rafu zote(Kumbuka kuna maccm ndani ya chadema ambao lengo lao ni kuharibu)
Mbowe hagombei wacha mchuuzwe.
 
Hata Msigwa mlikuwa mnampba hivyo hivyo huku mkimponda Sugu ,kilichompata ndicho kitampata Lisu labda asigombee ,kikubwa asije kukimbia chama 😁😁
Mbowe hawezi kugombea kwa maslahi mapana ya chama. Hilo ninauhakika
 
Huyo Lissu ni kiboko naona thread za kumhusu ziko nyingi Sana humu. Ngoja tuone Ngoma itazimwa Saa ngapi tukalale
 
Kinachonishangaza ni hao machawa kina Martin na Boniyai aisee hadi aibu nilikua najua ni watu wa maana kumbe ni takataka tu

Huyu jamaa anajifanya yupo smart , kumbe ni mjinga sana......wanajifanya wanapigania demokrasia kumbe wanapigania matumbo yao,ona eti anatangaza vita na Lissu
 
Bila mwamba Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Mbowe huyu huyu aiyeshiriki kwenye mkakati wa kumpiga risasi? Huyu huyu ambaye siku 1 kabla ya tukio ilikuwa asafiri kwenda Dar nawezake yeye akaahirisha safari ili apokee mwili wa Lissu? Acha masihara jombaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…