Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Naam kiongoziUmemaliza, taarifa Toka Lumumba, wanatafakari namna Gani ya kumpiga chini lissu kwenye kugombea uongozi chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam kiongoziUmemaliza, taarifa Toka Lumumba, wanatafakari namna Gani ya kumpiga chini lissu kwenye kugombea uongozi chadema
We kumbe BUMUNDA! upo nchi hii??Bagonza akigombea lini Uaskofu Mkuu KKKT? Acha kudanganya.
View attachment 3175513
Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni.
Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa chama.
Mpaka sasa hali ni mbaya kwa Mbowe ni kama uchaguzi ameshaumaliza Lissu.
Kama ambavyo chama kimekuwa kikidai haki ya kulinda kura kwenye chaguzi mbalimbali basi kambi ya Lissu nao wamejiapiza kulinda kura zao.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Muue huyoWe kumbe BUMUNDA! upo nchi hii??
Hujui kama aligombea jina likakatwa dakika za mwisho, lakini akapigiwa kura na wajumbe japo jina lake liliondolewa!
Inawezekanaje mtu akawa kiongozi mzuri bila utendaji mzuri?!Cha muhimu tusubiri vikao na maamuzi ya wanachama vikamilike.
Ila kwa maoni yangu, Lissu anaweza kuwa mtendaji mzuri Lakini sio Kiongozi mzuri.
Wakati ni mwalimu mzuri