Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Ni upuuzi kuamini habari hii kisa tu tundu islu aemsema.

Bali kudai uthibitisho kwa tundu lissu juu ya alichosema ndio kuwa na akili kwenyewe.

Mtu anaweza kukuona unaenda guest kila siku akakuzushia kwqmba una malaya wako unagonga hapo na mtu ukaamini kutokana na mazingira yanavyoshabihiana lakini ushahidi hana.

Mtu anaweza kukuona unajuana na shoga fulani akakuzushia kwamba unapiga yule shoga na mtu akaamini kwamba ni kweli kutokana na mazingira yanavyoshabihiana,ushahihi ni kudai ushahidi wa madai.

Suala hili Tundu lissu anatakiwa atoe ushahidi badala ya kutumia mazingira ambayo yanaonekana kama kushabihiana na maneno yake.

Watanzania tunatakiwa tuache utumwa wa fikra usiamini moinzani wala mtawala mpaka uhoji kwa kina upewe ushahidi wa maneno yake
Maneno meeeengi huku huna kitu.
Tueleze unachojuwa wewe ambacho kinapingana na habari ya Lissu.

Tupo tayari kukusikiliza. Achana na longolongo mradi uonekane umeandika kitu hapa!
 
Ni upuuzi kuamini habari hii kisa tu tundu islu aemsema.

Bali kudai uthibitisho kwa tundu lissu juu ya alichosema ndio kuwa na akili kwenyewe.

Mtu anaweza kukuona unaenda guest kila siku akakuzushia kwqmba una malaya wako unagonga hapo na mtu ukaamini kutokana na mazingira yanavyoshabihiana lakini ushahidi hana.

Mtu anaweza kukuona unajuana na shoga fulani akakuzushia kwamba unapiga yule shoga na mtu akaamini kwamba ni kweli kutokana na mazingira yanavyoshabihiana,ushahihi ni kudai ushahidi wa madai.

Suala hili Tundu lissu anatakiwa atoe ushahidi badala ya kutumia mazingira ambayo yanaonekana kama kushabihiana na maneno yake.

Watanzania tunatakiwa tuache utumwa wa fikra usiamini moinzani wala mtawala mpaka uhoji kwa kina upewe ushahidi wa maneno yake
Sio kila habari inahitaji ushahidi... its either you take it or not
 
Uvccm bhana mnapenda kupinga pinga mambo bila uhakika wa mambo!

halafu mnaitetea serikali huku mitandaoni kwa nguvu teuzi wanalamba wazee nyie vijana mpo tu!!!😂😂😂
 
Narudia tena , niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana

Britanicca
Umeona nini cha kukufanya uamini hivyo?

Mbona taarifa yako na ya Lissu zote ni za aina moja, tofauti yake ni nini?
 
IMG_20210829_032751_977.jpg
 
Ni upuuzi kuamini taarifa ambazo hazijathibitishwa.

Uwe sisiemu uwe chadema uwe lumumba au uwe ufipa.
Unaishi dunia ipi ndugu ya maarifa na ufahamu wa aina yako..?

Taarifa kama hizi zinahitaji kuthibitishwa na nani kwani...?

Au ulitaka Tundu Lissu ampigie mama Samia Suluhu simu kumuuliza;

"...Hello, Madam President Suluhu, are you truly held hostage...?"

Umbea tuuu !!!
You look shocked...right?

I am not sure if this is all what you have..?
 
Nimeshangazwa na logic ya kitoto ya ndugu lissu eti Rais yupo under hostage taking situation halafu akatoa mifano yake ya uongo.

Kwa ufupi niseme hata Yeye Tundu Lissu angefanikiwa kuwa Rais tungemuhesabu kuwa ni mateka wa mfumo wa ulinzi na usalama kwani hakuna ambalo angeweza kulifanya kinyume na maelekezo ya mfumo huo.
Huu ni mfumo wa kidunia na haujaanza leo na utaendelea.
 
Back
Top Bottom