Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Narudia tena , niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana

Britanicca
Acha kumpa Mabeyo uwezo asiokuwa nao, unadhani kuendesha nchi ni sawa na kuongoza askari?
 

..sasa kama hiyo ndio hali halisi kwanini mmepatwa na taharuki mpaka baadhi ya wana CCM kumtangazia Lissu fatwa?
 

Kwa hiyo wewe umekuja kuthibitisha rasmi hii mambo:



Hiiiiii bagosha!
 
..Maza ikifika 2025 anasepa na kurudi kwao Makunduchi.

..SSH hakuwahi kutamani kuwa Rais, na mafao ya Raisi mstaafu yanamtosha kutimiza ndoto na malengo yake.
Uchifu aliosimikwa juzi unatosha.

Bahati nzuri wenyewe hauna mizengwe yote hii.

'Maza Mizinguo' toka mwanzo alionyesha kuwa na 'low expectation' juu ya nafasi yake hii mpya ya urahisi!
 
Hadithi zingine, sasa kama kwa held hostage , son in law kafikaje hapo ??
 
Raisi katekwa? Thats big.
Luna;

1. Kutekwa kimwili (physically)

2. Kutekwa kiakili na kimaamuzi kutokana na ujinga au kutofahamu kipasacho kufanyika

## Katika scenario hii, namba mbili ndiyo inayo apply. Soma maelezo na sikiliza maelezo ya Tundu Lissu mwenyewe..!!
 
Luna;

1. Kutekwa kimwili (physically)

2. Kutekwa kiakili na kimaamuzi kutokana na ujinga au kutofahamu kipasacho kufanyika

## Katika scenario hii, namba mbili ndiyo inayo apply. Soma maelezo na sikiliza maelezo ya Tundu Lissu mwenyewe..!!
Mkuu hao ni creche hawaelewi kitu zaidi ya kusubiri uji saa 4
 
Hata kabla ya TAL, niliambiwa na afisa mkubwa wa wasiojulikana kuwa wao kwa sasa wanaripoti kwa Maajaliwa.

Kwa ujumla hanangaya, yupo ka alama tu lakini siyo kiutendaji.
A presd with less than 6 months can't get such a free time to get into a TV show especially for a country like Tz otherwise sha s gatting a dedicated bckup.
 
Hivi hamna jema Mama Samia atafanya mkamsifia.......
Mh Rais Mama Samia yuko vzr tuu na sivyo dua zenu mbaya zitawarudia wenyewe...
Kwao mh.Samia hana jema kwa sababu zifuatazo:-

1)Mfumo Dume

2)Rais Mzanzibari tena ni mama

3)Choyo na "gele"....

Wengi wanaompinga mh.Rais "kivuvuzela" ni watu wachoyo na WASIOJIAMINI....HAWAJIAMINI NDANI YA NAFSI ZAO....HAWAJIAMINI ASILANI ABADAAN

#SiempreChifuMkuuHangaya
 
Hadithi zingine, sasa kama kwa held hostage , son in law kafikaje hapo ??
Yaani wewe huelewi lolote. Hata maana ya maneno hayo huyaelewi lakini bila aibu una comment...

Soma tena sentensi zako na aya yote hiyo kwa ujumla uone kama inaleta maana yoyote...

NITAKUFUNDISHA:

¶ Kuwa "held hostage" maana yake "kufanywa mateka" wa mtu au situation au maamuzi fulani

¶ "Son-in-law", maana yake kwa kisukuma chetu tunasema "Mkwilima" au "mkwe" kwa kiswahili chenu

¶ Na incase ulikuwa hujui, Mchengelwa (waziri ambaye TISS iko chini yake) ni mkwe wa Mama Samia Suluhu Hassan (Rais)...!

Kwa hiyo, Mchengelewa ni "Son-in-law" wa Rais Samia Suluhu. Mchengelwa anamwita Samia "mama mkwe" maana yake kaoa mwanae...!

Na kuwa "held hostage" ktk scenario hii, si kutekwa kimwili bali KIAKILI na KIMAAMUZI...

Kwa lugha nyingine, Rais Samia Suluhu Hassan literally amekabidhi mamlaka na madaraka ya Urais kwa watu wengine...!!
 
Lissu 1 ni sawasawa na serikali nzima😂
Kule Kenya kuna mwanasiasa anaitwa Dr.Miguna Miguna....pamoja na uwezo wake mkubwa mno wa kisiasa ila ni mtu aliyebarikiwa "mbango na chai za kisiasa" haswa katika KUTENGENEZA "SIASA ZA TAHARUKI..."

Tundu Lissu hamuingii hata NUSU.....

Labda kwa kuwa wengi wetu vijana hatuwafuatili wanasiasa wa nchi nyinginezo wenye KALIBA hizo.....

#SiempreChifuMkuuHangaya
#NchiKwanza
 
Huenda angewatimua hao uliowaita sukuma gang wote angeonekana ana kisasi na hayati. Halafu nasikia wasukuma nchi hii ni wengi sana,vipi kisiasa uamuzi wa kuwatimua usingemletea shida hasa kanda ya ziwa?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hii habari ilizagaa mitaani kabla hata Lisuu hakasema; Lissu leo kahitimisha tu ila ukweli ulishajulikana kitambo..Lissu ni mjumbe tu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…