Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Na kwa upande mwingine nakataa kuamini taarifa hii ya Lissu, nadhani na yeye atakuwa amepotoshwa.

Kassim Majaliwa yupi anayemzungumzia hapa, yule mwenye mashangazi waliotishiwa kuzabwa vibao?

Majaliwa huyo simwoni akiwa na uti wa mgongo wa kumteka yeyote, achilia mbali Rais mzima!

Ujasiri huo atautoa wapi na kwa uwezo upi?

Yaani hata huko ndani ya lichama lao pasiwepo na mtu/watu wa kumkenulia meno kama mbwa koko kumtisha asijihusishe na mchezo huo?

'Maza Mizinguo" anaweza kweli kuwa ni mateka, na hali halisi inaonyesha hivyo, lakini siyo toka kwa mtu kama Kassim Majaliwa.
 
Hii habari ilizagaa mitaani kabla hata Lisuu hakasema; Lissu leo kahitimisha tu ila ukweli ulishajulikana kitambo..Lissu ni mjumbe tu ..

Mwenye macho haambiwi tazama!

Kafika bei, kaona amtumkie kafiri apate mradi wake.

Taabu na marumbano ya nini?
 
Nilitaka kushangaa

Yaani uache mafaili mazito ofisini halafu ukashoot video?, Lazima kuna kitu
Baada ya UVIKO mapato ya utalii yameshuka sana....less than 600b per fiscal year.....

Rais anataka UVIKO ikifikia mwisho ,WATALII WAONGEZEKE MNO.....

Kuna changamoto ya WATALII KUISHI nchini siku chache mno(liko kabla ya Uviko)....Rais ameamua TWENDE NA MATANGANGAZO YA KUHUSISHA UTALII WA KITAMADUNI...

Dr.Stergomena Tax ameshauri sana katika eneo hilo.....

#SiempreChifuMkuuHangaya
#NchiKwanza
 
Tundu Lissu alisikika akituambia KIFO CHA YULE MLINZI WA KARIBU WA HAYATI MAGUFULI...yule jamaa mwili mkubwa mweusi asiye na uso wa tabasamu eti AMEONDOKA KWA COVID-19......

Chai
Chai
Chai
Chai


Hivi mh.Tundu Lissu si "pathological lier"?!!!!


#SiempreChifuMkuuHangaya
#NchiKwanza
 
 
Hangaya kwakweli ni Lazima sasa awe mkali vinginevyo inatufanya tuamini wanawake bado sana
 
Sasa Lissu akiwa debe wewe si utakuwa kisoda? Wewe endelea kulia lia hapa tuu maana hata korido za lumumba huzijui, Lissu ana legacy nchi hii kwa aliyofanya so far.
Lissu ni muongomuongo.....

Alisema eti yule mlinzi mweusi amefariki kwa COVID-19.....

Unawezaje kumuamini mtu wa "chai" kiasi hicho?!!! Khaa 😲😲😲😲
 

Kati ya Lissu na wewe mkuu kwa ushauri wako tu tuamini nani anasema kweli?

Kuwa fair mkuu japo kwa leo tu, ingependeza zaidi.
 
Tundu Lissu is a typical PATHOLOGICAL LIER......
 
Lissu ni muongomuongo.....

Alisema eti yule mlinzi mweusi amefariki kwa COVID-19.....

Unawezaje kumuamini mtu wa "chai" kiasi hicho?!!! Khaa 😲😲😲😲
Yuko wapi kwani..?

Alisema pia Magufuli amekufa, mkang'aka kweli na mwisho wa siku mkala matapishi yenu...!

Ama kweli nyie ndo wanywa viroba na nyumbu halisi..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…