KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Na kwa upande mwingine nakataa kuamini taarifa hii ya Lissu, nadhani na yeye atakuwa amepotoshwa.
Kassim Majaliwa yupi anayemzungumzia hapa, yule mwenye mashangazi waliotishiwa kuzabwa vibao?
Majaliwa huyo simwoni akiwa na uti wa mgongo wa kumteka yeyote, achilia mbali Rais mzima!
Ujasiri huo atautoa wapi na kwa uwezo upi?
Yaani hata huko ndani ya lichama lao pasiwepo na mtu/watu wa kumkenulia meno kama mbwa koko kumtisha asijihusishe na mchezo huo?
'Maza Mizinguo" anaweza kweli kuwa ni mateka, na hali halisi inaonyesha hivyo, lakini siyo toka kwa mtu kama Kassim Majaliwa.