Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Ndio maana wanaotajwa wanataka kufungia mitandao! Na kusulubisha watu wa mitandaoni!
 
Kati ya Lissu na wewe mkuu kwa ushauri wako tu tuamini nani anasema kweli?

Kuwa fair mkuu japo kwa leo tu, ingependeza zaidi.
🤣🤣
Mkuu wangu kwa hiyo mh.Tundu Lissu alisema ukweli juu ya KIFO cha yule mlinzi mweusi ?!!!khaaa 😲😲😲
 
Yuko wapi kwani..?

Alisema pia Magufuli amekufa, mkang'aka kweli na mwisho wa siku mkala matapishi yenu...!

Ama kweli nyie ndo wanywa viroba na nyumbu halisi..!
Duuh bado unang'ang'ana tu kuwa huyo mlinzi hayuko hai?!!! 😲😲🤣🤣
Haya mkuu endelea KUJIFURAHISHA NAFSI YAKO.....

Karibu kahawa ya "cappuccino" hapa.....
 
Ndio maana wanaotajwa wanataka kufungia mitandao! Na kusulubisha watu wa mitandaoni!
Tundu Lissu is a "pathological lier"....

Eti alituambia yule mlinzi mweusi mwenye mwili mkubwa ametutoka kwa UVIKO 19....Khaaa 😲😲😲🤣🤣
 
Kama kawaida yake lissu ni muongo na mropokaji
Wewe unawaza kisha unaandika kama mwanafunzi wa kidato cha kwanza vile..

Haya mambo ni magumu huyawezi unless utumie akili za ziada sana kufikiri nje ya boksi..!
 
Sasa tunaelewa. Ndio hawa wanaoamuru wapinzani washughulikiwe, tena kishamba na kitoto sana. Sasa tumefikia pabaya sana kwa kweli.
 
Sasa tunaelewa. Ndio hawa wanaoamuru wapinzani washughulikiwe, tena kishamba na kitoto sana. Sasa tumefikia pabaya sana kwa kweli.
Lissu muongomuongo tu...

Alisema yule mlinzi amekufa kwa CORONA Khaaa😲🤣🤣

Huyu jamaa huyuuuuu.....
 
Huyu bwana lissu ashukuru kukimbilia kwa mabeberu,angekuwa singida sasa hivi angekuwa anaokota makopo,anachokiongea Wala hakieleweki.
Watu wenu wa Gamboshi na Sumbawanga ndio mngewatumia au kemikali za kisayansi?
 
Brother this is too low! Am sure hujamuelewa ama hukutaka kumuelewa TAL
 
🤣🤣
Mkuu wangu kwa hiyo mh.Tundu Lissu alisema ukweli juu ya KIFO cha yule mlinzi mweusi ?!!!khaaa 😲😲😲
Yaani wewe sijui ndiye mkuu wa idara ya propaganda huko CCM au mdangaji tu uliyejipa jukumu hili gumu la kuzuia kimbunga kwa ungo wa kupepetea mchele..?

Kwani nani kakudanganya kuwa unaweza kuleta giza kuifunika nuru (mwanga)?

Maana yake ni hii; unajaribu kila namna kutafuta VIOJA au UONGO ili ujaribu kuzuia au kuufunika UKWELI usitamalaki...!

Sasa huyo mlinzi unaye hapo? Mbona unakuwa kama Hangaya ndugu...?
 
Hamna rais anayeacha kufanya Mambo ya muhimu akajikita kwenye maswala ya burudani za maigizo na tamthilia wakati nchi Ina maswali mengi kuliko majibu
 
Mkuu endelea kujifurahisha nafsi yako(self fantasy)....🤣
 
A presd with less than 6 months can't get such a free time to get into a TV show especially for a country like Tz otherwise sha s gatting a dedicated bckup.

Kabisa [emoji106]
 
Lissu muongomuongo tu...

Alisema yule mlinzi amekufa kwa CORONA Khaaa😲🤣🤣

Huyu jamaa huyuuuuu.....
Haya mambo ni mazito sana kwako, wewe ulitaka TISS wajitokeze kwenye vyombo vya habari kuthibitisha ndipo uone ni kweli? Poor you.
 
Mkuu umeenda mbali sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…