Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Kati ya Lissu na wewe mkuu kwa ushauri wako tu tuamini nani anasema kweli?
Kuwa fair mkuu japo kwa leo tu, ingependeza zaidi.
Duuh bado unang'ang'ana tu kuwa huyo mlinzi hayuko hai?!!! 😲😲🤣🤣Yuko wapi kwani..?
Alisema pia Magufuli amekufa, mkang'aka kweli na mwisho wa siku mkala matapishi yenu...!
Ama kweli nyie ndo wanywa viroba na nyumbu halisi..!
Tundu Lissu is a "pathological lier"....Ndio maana wanaotajwa wanataka kufungia mitandao! Na kusulubisha watu wa mitandaoni!
Umepewa kikombe cha chai chenye majani mengi mno......Sikuwahi kudhani kuwa Mama Samia yuko hivi 🥲. Inasikitisha sana sana.
Wewe unawaza kisha unaandika kama mwanafunzi wa kidato cha kwanza vile..Kama kawaida yake lissu ni muongo na mropokaji
Lissu muongomuongo tu...Sasa tunaelewa. Ndio hawa wanaoamuru wapinzani washughulikiwe, tena kishamba na kitoto sana. Sasa tumefikia pabaya sana kwa kweli.
Watu wenu wa Gamboshi na Sumbawanga ndio mngewatumia au kemikali za kisayansi?Huyu bwana lissu ashukuru kukimbilia kwa mabeberu,angekuwa singida sasa hivi angekuwa anaokota makopo,anachokiongea Wala hakieleweki.
Lissu muongomuongo tu...
Alisema yule mlinzi amekufa kwa CORONA Khaaa😲🤣🤣
Huyu jamaa huyuuuuu.....
Brother this is too low! Am sure hujamuelewa ama hukutaka kumuelewa TALNimeshangazwa na logic ya kitoto ya ndugu lissu eti Rais yupo under hostage taking situation halafu akatoa mifano yake ya uongo.
Kwa ufupi niseme hata Yeye Tundu lissu angefanikiwa kuwa Rais tungemuhesabu kuwa ni mateka wa mfumo wa ulinzi na usalama kwani hakuna ambalo angeweza kulifanya kinyume na maelekezo ya mfumo huo.
Huu ni mfumo wa kidunia na haujaanza leo na utaendelea.
Yaani wewe sijui ndiye mkuu wa idara ya propaganda huko CCM au mdangaji tu uliyejipa jukumu hili gumu la kuzuia kimbunga kwa ungo wa kupepetea mchele..?🤣🤣
Mkuu wangu kwa hiyo mh.Tundu Lissu alisema ukweli juu ya KIFO cha yule mlinzi mweusi ?!!!khaaa 😲😲😲
Hamna rais anayeacha kufanya Mambo ya muhimu akajikita kwenye maswala ya burudani za maigizo na tamthilia wakati nchi Ina maswali mengi kuliko majibuNimeshangazwa na logic ya kitoto ya ndugu lissu eti Rais yupo under hostage taking situation halafu akatoa mifano yake ya uongo.
Kwa ufupi niseme hata Yeye Tundu lissu angefanikiwa kuwa Rais tungemuhesabu kuwa ni mateka wa mfumo wa ulinzi na usalama kwani hakuna ambalo angeweza kulifanya kinyume na maelekezo ya mfumo huo.
Huu ni mfumo wa kidunia na haujaanza leo na utaendelea.
Vya kutoshaKumbe na ubelgiji viroba vipo...jamaa kaishiwa kabisa..
Mkuu endelea kujifurahisha nafsi yako(self fantasy)....🤣Yaani wewe sijui ndiye mkuu wa idara ya propaganda huko CCM au mdangaji tu uliyejipa jukumu hili gumu la kuzuia kimbunga kwa ungo wa kupepetea mchele..?
Kwani nani kakudanganya kuwa unaweza kuleta giza kuifunika nuru (mwanga)?
Maana yake ni hii; unajaribu kila namna kutafuta VIOJA au UONGO ili ujaribu kuzuia au kuufunika UKWELI usitamalaki...!
Sasa huyo mlinzi unaye hapo? Mbona unakuwa kama Hangaya ndugu...?
"Alipoipata" bwana Lissu akamalizia kuwa... AKAFARIKI....😲😲😲🤣🤣Kweli bwana Lissu ni "PATHOLOGICAL LIER"....Asipatwe na korona kwani yeye Nani?
A presd with less than 6 months can't get such a free time to get into a TV show especially for a country like Tz otherwise sha s gatting a dedicated bckup.
Haya mambo ni mazito sana kwako, wewe ulitaka TISS wajitokeze kwenye vyombo vya habari kuthibitisha ndipo uone ni kweli? Poor you.Lissu muongomuongo tu...
Alisema yule mlinzi amekufa kwa CORONA Khaaa😲🤣🤣
Huyu jamaa huyuuuuu.....
Mkuu umeenda mbali sana..Kwao mh.Samia hana jema kwa sababu zifuatazo:-
1)Mfumo Dume
2)Rais Mzanzibari tena ni mama
3)Choyo na "gele"....
Wengi wanaompinga mh.Rais "kivuvuzela" ni watu wachoyo na WASIOJIAMINI....HAWAJIAMINI NDANI YA NAFSI ZAO....HAWAJIAMINI ASILANI ABADAAN
#SiempreChifuMkuuHangaya