Huyu tulimuonya mapema kwamba atimue sukuma gang wote akawaacha tu
Ndo maana kulikua na ccm ya watu wa mkapa, ccm ya kikwete, na magufuli akaja na ccm yake akatengeneza team yake akachukua hadi watu kutoka upinzani wakampa nguvu km watu wake....tatzo la mama hana team...hajatengeneza genge lake
Alionywa mapema asiendekeze lile genge la magu maana offcourse samia na majaliwa zilikua haziivi, walikua hata salam hawapeani but akamwaacha tu huyu mama alikosea angetengeneza serikali yake na watu wake anyofoe genge lote asuke kitu kipya na ndani ya chama awadhoofishe watu wanaohatarisha ushawish wake but aliwaacha tu
Sasa unavuna unachopanda tulikuonya juu ya wanaokuzunguka ukatuona hatuna akili hangaya hao wanakuangusha...
Huyu mama siku 100 alifanya makubwa lakini ghafla kabadilika jambo ambalo sio la kawaida kuna kitu hakipo sawa wakuu.....................kuna jambo limestuck mahali............haiwezekani samia wa siku 100 awe tofauti na wa sasa wawe tofauti wa asilimia 100 big no!