Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hakuna majeraha yoyote popote pale.Kazi ya kwanza ya Rais yoyote duniani ni kuwaunganisha wananchi wake wote na kuwa kitu kimoja, kutibu majeraha na kuwasikiliza wachache na kufikia muafaka.
Bàda ya hapo kazi ya pili huwa ni kujenga uchumi wa taifa.
Sasa kujaribu kujenga uchumi wa taifa bila kutibu majeraha yaliyoachwa na uchaguzi mkuu ni sawa na kupaua bati za msauzi kwenye nyumba ya matope.
Watanzania tunaendelea na maisha yetu. Tulishamaliza uchaguzi na sasa hivi tunajenga nchi yetu. Bunge linaendelea, mashule na vyuo vinaendelea, michezo kama kawaida. Shughuli zetu za kijamii kama kawaida na everything is as normal na nyinyi mmekazania majeraha majeraha.
Nyinyi endeleeni na ndoto zenu Sisi tunaendelea kuishi maisha yetu.