Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Vigano vya PAUKWA PAKAWA....
 
Mkuu endelea kujifurahisha nafsi yako(self fantasy)....🤣
Ni vyema kuwa umeelewa na umeamua kuishia hapa...

By the way, we are not fantasizing anything. Sisi tuna akili na kamwe siyo wanafiki...

Kama mambo ndani ya nchi yetu hayaendi inavyopaswa lazima tujaribu kufikiri na kutafuta chanzo na kisha sauti zipazwe kuokoa jahazi...

If you think people are just fantasizing kusema haya, basi you are absolutely wrong.

Hii kitu inaweza kudhihirika waziwazi na kishindo chake mpaka dunia itashangaa, kuwa; "....lol, kumbe na Tanzania haya yameweza kutokea...!!"

Kama miezi sita iliyopita mlishangaa taifa hili kufiwa na Rais aliye madarakani, basi msije mkashangaa kukafanyika mapinduzi ya serikali katika nchi hii hii muda si kitambo na kujikuta mnakula matapishi yenu tena kwa aibu...

Kama haya yanayosemwa yapo, tuyakemee si kwa ajili ya Rais Samia bali kwa ajili ya taifa letu zuri..

Aambiwe asimame katika nafasi yake. Abebe jukumu lake la Urais. Urais tuliompa siyo wa kutwa kupaka wanja na kuzurura zurura ovyo...!!
 
Ila nikijaribu ku connect dot fulani fulani tundu lissu yupo sahihi japo sio 100%
 
Usimsikilize huyo Domo baya. Tundu Lissu anatumiwa na wajerumani kuivuruga Tanzania kama Rais Tseked wa DRC anavyotumiwa na hao hao wajerumani na wafaransa kuifanya Kongo kuwa weak ili makampuni ya kibepari yapate uwezo wa kuchuma mali za waafrika kwa bei ya kutupwa.

Toka lini waziri mkuu na waziri wa ulinzi wakaiongoza nchi wakati wao wenyewe wameteuliwa na Rais? Inaingia akilini hiyo?

Amka kijana na fungua macho usipende kusikiliza propaganda za vibaraka wa mabeberu. Yeye ndiye aliyewekwa hostname na mabeberu wa kijerumani huko ubelgiji.

Kama Lissu anabisha kuwa hayuko Begium kwa matakwa ya wajerumani jiulize kwanini kila mara anakwenda ujerumani kukutana na viongozi wa hiyo nchi? Asitufanye sisi kama watu tusio jua.

Ningemshauri Rais kuwa makini sana na wajerumani! Wajerumani wanasifika kwa "Hinterlistigkeit" (kwa kijerumani), yaani ni taifa linalo tumia ujanja kusababisha maafa kwenye mataifa mengine, lakini wenyewe wanabaki salama na hakuna mtu anawashukia kuwa wao ndiyo wano tenda maovu hayo. Kwa maneno mengine wanauma na kupuliza!

Ulimwengu wote unajua kuwa Lissu kuwa Belgium ni Camouflage tu ili watanzania tusiwashukie kuwa wajerumani ndiyo wanao husika na kumhifadhi Lissu huko Belgium kwa interest ambazo wanazo Tanzania.

Jiulize kwa nini Lissu alipoiacha nchi mwaka jana alisindikizwa na Balozi wa Ujerumani? Kutakuwa kuna kitu kinapikwa na wajerumani na sio bure ndugu yangu.

Msifikiri nyie ndiyo mnapendwa ki hivyo. Mnatumiwa tu ndugu zangu ili wao wapate wanachokitaka.

Watanzania kuweni macho ndugu zangu! Wazungu hawana interest ya kuwaendeleza nyie. Kwa lipi? Msiwe na illusion hizo.

Wazungu wanajua kuwa sisi ni race ambayo tukipata Power tuta dominate ulimwengu na race yao kufa. Hawawezi hata siku moja kutuacha sisi tujitutumue hivi hivi kirahisi. Watatumia kila njia kutuvuruga sisi na kutuchezea akili.

Wanataka kutukwamisha kwenye kila kitu. Walijaribu kwa wachina wameshindwa. Na wahindi nao wanakuja taratibu. Sisi ndiyo tuliobaki kuwa nyuma. Cha kustaajabu ni kwamba sisi tunapigwa pia na wachina na wahindi.

Waafrika lazima tujikwamue sisi wenyewe kiuchumi na kisiasa. Tukiwategemea wazungu tutaangamia!
 
Mambo yanaenda poa kabisa, kila kitu kipo kwenye mstari, Watu wanafuraha sasa! Mambo hayaendi kwa waleta "Chokochoko" ambao walidhani Samia ni dhaifu, wakadhani pia eti nchi inaendeshwa kwa remote kutoka Msoga, Wakadhani kufa kwa JPM basi wao wataanza kufanya ujinga wao waliokuwa wanafanya kipindi cha JK, wakadhani wataendeleza siasa zao za kuleta taharuki ili wakavute hela kwa wafadhiri, kwa hao mambo hayaendi na hayataenda!! Samia hatofanya kazi kuwafurahisha wahuni wa UFIPA!! Vyombo vya ulinzi na usalama vitaendelea kudeal na wahuni wote, kazi aliyoianza JPM ya kuwashughulikia wahuni wa kisiasa wa TZ Samia anaendelea kuimalizia, na hamna chochote mtamfanya washamba nyie
 
Naamini ni kweli asilimia 100%
Mienendo ya Mama sio kabisa. Siyo mienendo ya mtu Rais.
 
Movie za kikorea hizi

Jamung katokea hapa sio?
 
Huzo hekaya za wazungu wazungu wazungu zimeshapitwa na wakati. Kajipange tena..Magaidi wao ndani ya ccm unasingizia wazungu😅😅
 
Hata kabla ya TAL, niliambiwa na afisa mkubwa wa wasiojulikana kuwa wao kwa sasa wanaripoti kwa Maajaliwa.

Kwa ujumla hanangaya, yupo ka alama tu lakini siyo kiutendaji.
Yaweza kuwa kweli. Nafsi yangu haijawahi kumuona Majaleo kama binadamu wa kawida.
 
VIJANA WAMEMZOEA JPM NA ZIARA ZAKE ZA NDANI HUYU AKIWA AMETULIA WANAFIKIRI KATEKWA JE KIPINDI CHA KIKWETE
 
Taarifa za "taabu ya Magufuli" hadi kifo chake zilikuwa zinachagizwa na Tundu Lissu zaidi...

Mlimwita mwehu, mnywa viroba lakini mwisho wa siku wanywa viroba halisi wakadhihirika ukiwemo wewe @baruayamoto
Kila wanalopanga linabuma. Lissu kuepuka kile kifo ni pigo kubwa sana kwa Mahasimu wake.
 
Utajua hujui...This is Tanzania maaaan!
 
Huzo hekaya za wazungu wazungu wazungu zimeshapitwa na wakati. Kajipange tena..Magaidi wao ndani ya ccm unasingizia wazungu[emoji28][emoji28]
Endelea kulala tu.
Angalia jitihada za wazungu kuuhadaa ulimwengu kwenye documetarie hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…