Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Kwa kweli ni ukweli mchungu, kiongozi mkuu ni "ceremonial figure" tu.
 
WanaCCM wenzangu,
Hoja aina hii siyo za kukurupukia maana mtu kama Lissu lazima atakuwa na mvujisha taarifa kutoka pakachani.

Naona watu wanajibu kwa kebehi
Kuna jambo halipo sawa and yet we joke about it.

I can sense indoor plumbing
Wewe siyo mwanaCCM. Acha shoboko.
 
Kwa kweli ni ukweli mchungu, kiongozi mkuu ni "ceremonial figure" tu.
 
Britanicca hapo cha kudhangaza ni kipi? Labda kosa la Lissu ni kutumia lugha ngumu kwa kuusema ukweli kama ulovyo. Lakini si Lissu tu watu wengi viongozi wakubwa na wadogo wamsema ukweli huu. Lugha yao ya isiyo kali wanayotumia ni " Mama anashauriwa vibaya" Hii ni Lugha ya staha tu na kuficha makali ya maneno ila nayo inaukweli huo huo.

Rais anaweza kushauriwa vibaya na yeye akakubali?? Shituka mkuu.
 
WanaCCM wenzangu,
Hoja aina hii siyo za kukurupukia maana mtu kama Lissu lazima atakuwa na mvujisha taarifa kutoka pakachani.

Naona watu wanajibu kwa kebehi
Kuna jambo halipo sawa and yet we joke about it.

I can sense indoor plumbing
Kama mlivyojibu wakati Jiwe anaumwa😅😅
 
Whatever it takes...

Makosa makubwa kabisa yalifanyika 2015 itachukua muda sana nchi kupona kwa iliyoyapata ni muda tu ndio utakua muamuzi..

It will take time hadi watu wa regime ile wabaki walau theluthi moja ndio tunaweza kuanza upya!
sahihi
 
Utopolo fc
 
Kwa sasa nitakuwa pamoja nawe hadi nione vinginevyo.

Sijaona jambo la kunishawishi niamini yasemwayo hapa. Naona nadharia tu!
 
Mbona unatema mate tu hapa! Rejea kwenye hoja! Mama anaongiza au anaongizwa!!?🚮🚮
 
Ninachojiuliza, kwa uchumi upi Mama atakaotumia mwakani kuongeza Watumishi Mishahara!!? Au ndiyo danganya toto!! Yaaani mambo ni mengi sana!
 
Uchifu aliosimikwa juzi unatosha.

Bahati nzuri wenyewe hauna mizengwe yote hii.

'Maza Mizinguo' toka mwanzo alionyesha kuwa na 'low expectation' juu ya nafasi yake hii mpya ya urahisi!
Remember, she became a President by accident! Tusitegemee jipya toka kwa huyu Mam zaidi ya tozo za paa za nyumba, plaster, lenta n.k🚮
 
Unadhani approach anayotumia ya "Royal tour" itatoa majibu ya mkwamo katika utalii! Mimi nadhani Watalii hawatavutiwa na hili bali hali ya Kisiasa ikikaa vyema kukawa na utengamano wa jamii nzima ya Watanzania na kila mmoja akaisema vyema nchi yetu, watalii watasikia na kurejea tena kama enzi za JK. Hivi sasa watu wengi wanaisemea mabaya nchi yetu hasa wapinzani jambo linalopeleka -ve image kwa Watalii.

Ni vyema Serikali ifikie hatua iache kushupaza shingo na irejee katika maridhiano na wapinzani ili Taifa lirejee kuwa moja. Sijaona faida yoyote kwa mfano ya kumweka ndani Mbowe zaidi ya kukichafua na kuligawa Taifa!! Huenda hatulioni hili lkn viashiria mitaani vinaonesha kujengeka kwa chuki kuu miungoni mwa jamii hasa kutokana na suala la Mbowe! Madhara ya uamuzi wa Serikali kutunga kesi na kumtesa mtu ambaye tayari aliteswa na mwendazake hadi jamii nzima ikatambua siyo jambo jema hasa kwenye kipindi hiki kigumu cha mdororo wa Uchumi! Tuache siasa tuzingatie msuala ya msingi. Tanzania inazama kiuchumi kuliko tunavyoieleza!
 
Lissu ni wa kupuzwa. Ni mjinga tu asoejiewa. **** siku alosema tz inyimwe msaada ili raia tufe chadema iingie ikulu. Sikuelewa mpaka kesho.


Lete hiyo clip tuisikie kwa masikio yetu ndipo tuamini ama sivyo utashikwa UONGO.------ nasubiri hiyo clip.
 
Mkuu 'Jumbe', unataka kunithbitishia nini hapo na hayo maneno, mbona ni mepesi sana?

Moja ya sifa zake huyu mama inayojitokeza haraka sana, ni kwamba hana uwezo wa kujenga hoja katika hotuba zake na kuzifanya ziwe za kuvutia watu kusikiliza.

Chukulia mfano wa hayo maneno uliyoweka hapo, ni kitu gani hasa kinachovutia kusikiliza au kuyasoma hayo maneno. Yana uzito gani wa kumvutia msikilizaji/msomaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…