digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Huyu bwana lissu ashukuru kukimbilia kwa mabeberu,angekuwa singida sasa hivi angekuwa anaokota makopo,anachokiongea Wala hakieleweki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa za "taabu ya Magufuli" hadi kifo chake zilikuwa zinachagizwa na Tundu Lissu zaidi...Kumbe na ubelgiji viroba vipo...jamaa kaishiwa kabisa..
Mtu asiyeeleweka yuko vile?Huyu bwana lissu ashukuru kukimbilia kwa mabeberu,angekuwa singida sasa hivi angekuwa anaokota makopo,anachokiongea Wala hakieleweki.
Umesikiliza narration yote toka mwanzo hadi mwisho? Watu tuko persecuted halafu unataka tukae kimya? Uko serious kweli?LISSU anatakiwa mambo mengine akae Kimya yanamshushia credibility, nchi inajulikana anayeongoza ni nani hata Majaliwa hana ubavu huo! Na take over ilifanyika tokea mwezi March 13 ,2021 … LISSU ajichunge sana na Rwehumbiza atamuingiza Chaka kwa baadhi ya Taarifa
..Maza ikifika 2025 anasepa na kurudi kwao Makunduchi.Eti halafu nyinyi ndio mpewe nchi muongoze??? Badala ya kushughulika na vitu vya maana mnaendekeza umbea tu...
Ni upuuzi kuamini habari hii kisa tu tundu islu aemsema.Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu....
Yes, CHOCHOTE ili mradi huvunji sheria yoyote...Yaani mitandao siku hizi unaweza kuandika na kuongea chochote mradi upate likes tu
WanaCCM wenzangu,Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...
Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324
MAONI YANGU:
Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?
Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...
Hebu chunguzeni ziara na matukio anayoshiriki Rais Samia Suluhu kwa takribani miezi miwili iliyopita, ni utoto utoto tu huku maswala serious burning issues haki ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, haki tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi yakielea elea hewani bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...
Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu kwa lengo fulani baya nyuma ya pazia..
Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...
Kama kawaida yake lissu ni muongo na mropokajiAkiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...